Jeetu Patel karudi...

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
Huyu Mhindi akamatwe mara moja na bank account na assets zake nyingine ziwe chini ya ulinzi mkali. Wasimwache akaingia mitini kama yule wa rada.
Revealed:
Dar tycoon linked to BoT scandal

BOT Twintowers
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

PROMINENT Dar es Salaam business tycoon Jayantkumar Chandubhai Patel, who is also known as ’Jeetu’ Patel, is linked to the embezzlement of billions of shillings from the Bank of Tanzania (BoT)’s external payment arrears account, THISDAY can reveal today.

Patel has been verified as the owner of one of the companies listed as beneficiaries of a total of over 133bn/- fraudulently paid out by the BoT from the EPA account in 2005.

Investigations by THISDAY have established that Jeetu Patel owns Navycut Tobacco (T) Limited, one of 13 companies said to have received huge sums of money totalling more than 90.359bn/- using false and forged documents.

Navycut Tobacco was identified in the BoT special audit report prepared by the international auditing firm Ernst & Young. The report said other companies paid by the BoT using forged documents included Kagoda Agriculture Limited, Maltan Mining Company Limited of Tanzania, Money Planners & Consultants, Bora Hotels & Apartment Limited, B.V. Holdings Limited, Ndovu Soaps Limited and Changanyikeni Residential Complex Limited.

Also on the same list are Bencon International Limited of Tanzania, VB & Associates Company Limited of Tanzania, Bina Resorts Limited of Tanzania, Venus Hotel Limited of Tanzania and Njake Hotel & Tours Limited.

Latest findings by THISDAY have revealed that Navycut Tobacco (T) Ltd was registered on October 11, 1995, with Jeetu Patel listed as the firm�s director based in Dar es Salaam.

Being a leading member of the local business community, Patel’s array of business interests includes a hefty percentage of shares in the recently-launched Bank M (Tanzania) Limited, via another company he is linked to - Noble Azania Investments.

According to available records, he was one of the main investors in the bank’’s initial listed share capital of 6.5bn/-, pumping in 1.3bn/-.

Bank M (Tanzania) was authorized as a fully-fledged commercial bank in February last year, with an authorized share capital of 10bn/- and a paid-up capital of 6.5bn/-.

Efforts to contact Jeetu Patel yesterday for his comments on the BoT special audit report � which has already prompted President Jakaya Kikwete to formally fire the long-serving central bank governor Daudi Ballali � proved unsuccessful yesterday.

Apart from dismissing Ballali, the president has also ordered a serious crackdown on all individuals and companies involved in the monumental scam, including the institution of appropriate legal measures against them and the recovery of all the money siphoned from the EPA account in such fraudulent fashion.

The crackdown will be led by the Attorney General, Johnson Mwanyika, working in tandem with the Inspector General of Police, Saidi Mwema, and the director of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Edward Hosea. They have been given six months to complete the job.

When announcing the special audit findings earlier this week, State House Chief Secretary Philemon Luhanjo told a news conference that the stated 13 companies were part of a bigger list of 22 companies that were the recipients of a total of 133,015,186,220.74/- from the central bank’s EPA account during 2005/06.

Luhanjo said auditors Ernst & Young had discovered that these companies acted as illegal ’agents’ for external creditors collecting debts through the account.

According to our own government sources, most of the firms identified in the audit report are understood to be ’shell’ (shadow) companies, which typically have no physical presence (other than a mailing address) and generate little independent economic value.

The ’shell’ companies usually pay little taxes or no taxes at all, and have virtually no traceable assets.
 
Will BoT scandal suspects stick around for the fall-out?

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

CONCERN is mounting that some individuals involved in massive funds embezzlement from the Bank of Tanzania's external payment arrears account may be about to flee the country before being formally implicated and probably arraigned in court on criminal charges.

Various members of the law enforcement community in the country have expressed consensus that the six-month deadline given to authorities to conclude investigations into who exactly was involved in the scandal may actually give key suspects ample time to escape.

''Some of them must be thinking of getting out of the country now, since there is a good chance they could later be prevented by the authorities from leaving while the investigations are still continuing,'' a police source told THISDAY in Dar es Salaam.

The source added: ''Most of these suspects are wealthy businessmen, and some even possess passports for other countries. It will therefore be that much easier for them to just run off.''

Members of the public who also spoke to THISDAY shared an almost blanket feeling that apart from disgraced BoT governor Daudi Ballali who has been fired, other key figures in the scam could end up eluding justice.

''In this country, people are lynched for stealing a mobile phone handset. But when you steal billions, you will never get to see the inside of a prison, because corruption is so institutionalized in our society,'' said city resident Sandra Massawe.

Others cited the case of the local agent understood to be behind the 70bn/- military radar scandal, Shailesh Vithlani, who is still at large although an international warrant has been issued for his arrest.

''Just like how the radar suspect escaped justice, so will the well-connected businessmen who embezzled all that money from the BoT,'' said Juma Kajari, another city resident.

But when contacted for comment, the Acting Director of Criminal Investigations in the Tanzania Police Force, Peter Kivuyo, was quick to allay fears that key suspects in the BoT scandal may flee the country.

''The world has become like just a small village�no one can escape the long arm of the law,'' Kivuyo asserted.

There are increasing calls, notably from opposition politicians, for the government to seek Ballali out in the United States - where he has been for the past four months or so reportedly undergoing medical treatment - and place him under arrest.

But well-placed government sources have expressed their own doubts as to whether the ex-BoT governor will ever return to the country to face corruption charges, especially considering the reports of his deteriorating health.

''We have seen the last of him�he is not coming back to Tanzania,'' said one source.
 
Tutashukuru kama watamfix maana ayo majigambo yake mjini na kuwaona watz kama nyangau yamezidi.
 
Ni kweli huyu inabidi akamatwe ASAP maana wakipotea step tu anateleza kama mafia mwenzake wa rada. Huyu ndiye babalao kwenye ufisadi ktk bongo yetu.
 
Dunia yashtushwa Kashfa ya EPA

na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima

MATAIFA mawili makubwa duniani, Marekani na Uingereza, yameeleza kushtushwa na matokeo ya uchunguzi wa ubadhirifu katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) uliofanywa ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Aidha, mataifa hayo mawili kila moja kwa wakati wake, yametoa taarifa ya kuiunga mkono moja kwa moja hatua iliyochukuliwa na Rais Jakaya Kikwete ya kumfukuza kazi Gavana wa Benki Kuu, Daudi Ballali kutokana na ubadhirifu huo wa fedha za EPA zinazofikia shilingi bilioni 133.

Taarifa iliyotolewa jana na serikali ya Uingereza kupitia kwa balozi wake wa hapa nchini, Phillip Parham, ilieleza kushitushwa na kugundulika kwa ufisadi mkubwa wa namna ile unaoweza kufanywa na taasisi nyeti kama BoT.

Balozi Parham ambaye nchi yake kwa mwaka huu wa fedha imetoa msaada wa jumla wa pauni milioni 120 kwa Tanzania (karibu shilingi bilioni 278), alisema ni vigumu kuamini kama ufisadi wa uzito na kiwango hicho unaweza kuhusisha Benki Kuu yoyote.

"Mara nyingi nimekuwa nikisema jinsi ilivyo muhimu kwa serikali kuonekana ikishughulikia kikamilifu tuhuma nzito za rushwa. Hivyo nimefurahi kusikia kwamba ukaguzi maalum uliofanywa kwenye akaunti ya "External Payment Arrears" (EPA) sasa umekamilika, na kwamba Rais Jakaya Kikwete amefanyia kazi kwa haraka kabisa yaliyogunduliwa. Tunampongeza Rais Kikwete kwa maamuzi aliyochukua," alisema.

Balozi huyo alisema kuwa hatua za kinidhamu zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya wale waliohusika na ulipaji wa fedha hizo kwa njia zisizo halali, na vilevile dhidi ya wale walioshindwa kuchukua hatua pale ambapo ishara za mambo kutokwenda sawa zilipojitokeza kwa mara ya kwanza.

Aliongeza kuwa, itakuwa muhimu kama uchunguzi ulioanzishwa na Rais baada ya kupata ripoti ya ukaguzi uliofanywa na Kampuni ya kimataifa ya ya Ernst & Young kwa muda wa miezi mitatu kati ya Septemba na Desemba ukafanyika kwa haraka na kikamilifu.

"Wale wote waliohusika, na waliojinufaisha kwa fedha zilizoibwa, lazima wawajibishwe. Kufanya hivyo ni muhimu si tu (kwa ajili ya) kujenga imani kwa washirika wa maendeleo, bali pia ya Watanzania na wawekezaji wa nje, ambao ustawi wa Watanzania unategemea.

"Tunasubiri kusikia zaidi juu ya ukaguzi uliofanyika, na pia hatua ambazo serikali itachukua katika kuyafanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa. Vilevile tunasubiri matokeo ya uchunguzi ambao rais ameuanzisha, na tunatumaini tuhuma nyingine nzito za rushwa nazo pia zitashughulikiwa kikamilifu," alisema.

Kwa upande wake, Marekani imeelezea kufurahishwa kwake na hatua ya serikali kumfukuza kazi kwa Ballali ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa uchunguzi dhidi ya kasoro zilizobainika katika taasisi hiyo.

Taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na balozi wa Marekani nchini, Mark Green, ilisema kuwa Marekani imetiwa moyo na tangazo la Rais Jakaya Kikwete kuwa amemfuta kazi Ballali na pia kuagiza kufanyika kwa uchunguzi dhidi ya wote waliohusika.

"Tunaamini kuwa uamuzi wa serikali kufanya uchunguzi dhidi ya waliohusika na kasoro zilizobainika, ni ishara ya dhamira ya Rais Kikwete kupambana na rushwa. Kuwafikisha wahusika wote katika mkono wa sheria kutasaidia kujenga uwazi na kuongeza imani ya kimataifa kwa mazingira ya uwekezaji Tanzania," alisema Green katika taarifa ambayo ilisambazwa na ubalozi huo pamoja na Ikulu.

Balozi huyo aliongeza kuwa, hivi karibuni, Marekani na Tanzania zitashirikiana katika utekelezaji wa miradi ya uwekezaji inayogharimu dola za Marekani milioni 698 katika sekta za barabara, maji na nishati, ili kushiriki katika vita dhidi ya umasikini.

"Huu ni mpango wa Millennium Challenge Compact ambao utakuwa mkubwa kuwahi kusainiwa na Marekani kutokana na kutambua mafanikio ya Tanzania katika maeneo matatu; utawala bora, uchumi wa soko huria na uwekezaji katika afya na elimu," alisema balozi huyo.

Akisifia jitihada zinazofanywa na serikali katika kupambana na rushwa, Balozi Green alisema kuwa hakuna nchi duniani, ikiwemo Marekani, ambayo haina rushwa.

Alisema kwa maana hiyo, kuna umuhimu wa kuchunguza vitendo vya rushwa na kushirikishana matokeo yake, na kuwashughulikia ipasavyo wale wote watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo.

Hoja hizo za mataifa makubwa zinakuja siku moja tu baada ya Rais Kikwete kumfukuza kazi Ballali na kuchukua hatua ya kusimamisha malipo mengine yote kupitia katiika akaunti hiyo, hadi kazi ya uhakiki itakapokuwa imekamilika.

Aidha Kikwete katika uamuzi wake huo, ametoa muda wa miezi sita wa kukamilika kwa uchunguzi, ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu na kisheria kwa watu na kampuni zote zilizoshiriki katika ufisadi huu wa kwanza wa aina yake kubainika kwa uwazi.

Katika kufuatilia hayo, Rais Kikwete pia amemwagiza Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuongoza kazi ya uchunguzi wa tuhuma za kampuni na wahusika.

Mwanasheria Mkuu katika kazi hiyo atashirikiana na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Pamoja na mambo mengine, Mwanasheria Mkuu na timu yake wanatakiwa kuhakikisha kuwa fedha zote zilizolipwa isivyo halali kwa kampuni hizo zinarudishwa serikalini.

Tuhuma za ufisadi na ubadhirifu wa BoT zilitolewa hadharani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, alipokuwa akichangia hotuba ya bajeti ya serikali kwa mwaka 2007/08 na baadaye akawasilisha hoja binafsi bungeni, ya kutaka kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge kulichunguza suala hilo, jambo ambalo lilipingwa na serikali.




 
Wenye kampuni zilizolipwa EPA hawa hapa

na Tamali Vullu na Irene Mark
Tanzania Daima

MAJINA ya wamiliki na wakurugenzi wa makampuni matano kati ya 20 yanayodaiwa kujipatia mabilioni ya fedha isivyo halali kupitia Akaunti ya Madeni ya Malipo ya Nje (EPA), yamejulikana.
Akizungumza na Tanzania Daima, ofisini kwake Dar es Salaam jana, Naibu Msajili wa Makampuni na Majina ya Biashara wa BRELA, Andrew Mkapa, alisema mengi ya makampuni hayo yalisajiliwa mwaka 2005.

"Kati ya majina ya wamiliki nitakayotaja, wanne wanamiliki firm (kampuni ndogo) ambazo zinaonyesha zimesajiliwa mwaka 2005.

"Firm ni tofauti na kampuni, kwani kunapotokea tatizo katika firm, mmiliki ndiye anayeshitakiwa na si firm, tofauti na katika makampuni ambako huwa yanashitakiwa makampuni na si wamiliki," alisema.

Aliwataja wamiliki wa kampuni ya Kagoda Agriculture, kuwa ni John Kyomuhendo mwenye hisa 40 na Francis William anayemiliki hisa 60 katika kampuni hiyo.

"Kampuni ya Kagoda ilisajiliwa kwa namba 54040 kwa anuani ya Posta 80154 Dar es Salaam na waliandikisha kuwa ofisi zake zipo Kipawa kitalu namba 87 Wilaya ya Temeke.

"Makazi ya wamiliki hao ni Kinondoni Hananasif, kitalu namba 51 anakoishi Kyomuhendo wakati William anaishi Kinondoni, Mtaa wa Lowa kitalu namba 31b 13," alisema Mkapa.

Aidha, aliwataja wamiliki wa firm iitwayo Mibale Farm iliyosajiliwa Septemba 2, 2005 na kupewa namba 154039 kuwa ni Kizza Selemani na Farijala Hussein.

Msajili huyo alitaja mmiliki mwingine kuwa ni Beredy Malegesi ambaye anamiliki firm ya Malegesi Law Chambers iliyosajiliwa Septemba 24, 2001 kwa namba za usajili 130278.

"Mmiliki mwingine ni Paul Nyingo na Fundi Kitungi, wanaomiliki firm ya Money Planners & Consultants iliyosajiliwa Machi 22 mwaka 2005 kwa namba 150731.

"Firm nyingine ni Kiloloma & Bros Enterprises inayomilikiwa na Charies Kissa, ambayo ilisajiliwa Aprili 8 mwaka 2005," alisema.

Makampuni hayo na mengine ambayo Tanzania Daima bado haijafanikiwa kufahamu wamiliki wake, yalibainika kuwa yalilipwa zaidi ya sh bilioni 133 isivyo halali kupitia akaunti ya malipo ya madeni ya nje (EPA) iliyopo Benki Kuu (BoT).

Hayo yamebainika baada ya Kampuni ya Ernst & Young kufanya uchunguzi wa tuhuma hizo kwa niaba ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na kuuwasilisha ripoti ya ukaguzi wake serikalini.

Baada ya kuisoma ripoti hiyo, Rais Jakaya Kikwete alimfukuza kazi aliyekuwa Gavana wa BoT, Daud Ballali kutokana na kasoro zilizobainishwa.

Kutokana na ubadhirifu uliobainika katika ukaguzi huo, Rais Kikwete ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu kukutana haraka ili kujadili taarifa ya ukaguzi na kuchukua hatua za kinidhamu kwa maofisa wanaotuhumiwa kuhusika na kulisababishia hasara taifa.

Pamoja na hatua hiyo, rais alisimamisha shughuli za ulipaji wa madeni kupitia akaunti ya EPA, hadi taratibu za uhakiki wa malipo hayo utakapotengenezwa upya.

Rais pia amemwagiza Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuongoza kazi ya uchunguzi wa tuhuma za kampuni na wahusika na kuwa uchunguzi huo uwe umekamilika katika kipindi cha miezi sita.

Katika kuifanya kazi hiyo, Mwanasheria Mkuu atashirikiana na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Pamoja na mambo mengine, Mwanasheria Mkuu na timu yake wanatakiwa kuhakikisha kuwa fedha zote zilizolipwa isivyo halali kwa kampuni hizo zinarudishwa serikalini.

Tuhuma za ufisadi na ubadhirifu wa BoT zilitolewa hadharani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, alipokuwa akichangia hotuba ya bajeti ya serikali kwa mwaka 2007/08 na baadaye akawasilisha hoja binafsi bungeni ya kutaka kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge kulichunguza suala hilo.




 
Huyo mhindi hayuko peke yako wote waliofacilitate wizi huo wote wakamatwe bila kujali nyazifa zao wapelekwe mahakamani na mali zao zote zifilisiwe .Hii itakuwa fundisho kwa wengine.
 
Watupe kwanza uchunguzi wa madai kwamba pesa hizo zilitumika kuendesha kampeni kubwa za JK. Ushahidi moja ambao umejitokeza ni kwamba makampuni karibu yote yaliyotajwa yalisajiliwa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi, so..
 
Hiyo ripoti kamilifu itawekwa lini hadharani? Watanzania tuna haki ya kuiona ripoti yote siyo kutuwekea tu paragraph tatu za ripoti hiyo, hili pia tulishinikize kwa nguvu zetu zote.
 
Patel rafiki mkubwa wa chama cha mapinduzi,Patel amejenga apartment kibao upango,
salama JK Anakaa bure kwenye apartment hizo ambapo kwa mwezi ni dola 1000,huyu binti anasoma muhimbili univ.
kwa maana nyingine-handsome+patel+kernel+mamvi=bora maisha..
tafakari na chukua hatua,tatizo si viongozi ila mfumo mbovu wa serikali..je nani anaweza kutupa raha?
anserbert hayo ndio maswali magumu?
 
Patel rafiki mkubwa wa chama cha mapinduzi,Patel amejenga apartment kibao upanga,
salama JK Anakaa bure kwenye apartment hizo ambapo kwa mwezi ni dola 1000,huyu binti anasoma muhimbili univ.
kwa maana nyingine-handsome+patel+kernel+mamvi=bora maisha..
tafakari na chukua hatua,tatizo si viongozi ila mfumo mbovu wa serikali..je nani anaweza kutupa raha?
anserbert hayo ndio maswali magumu?
 
Ndugu wanajambo ni lazima tuwe wakweli, haiwezekani huyo Patel akamatwe, itakuwa same story kama yule wa Rada, na hata watanzania wenzetu wazalendo kama Balali wanaweza kukimbia. Unaweza kusema kweli kuna mtu Tanzania hii wa kumgusa Patel? au Vithlani? hakuna tusijidangaye hata kidogo, vitakamatwa vijidagaa tu, na hakuna kitokachoendelea!
 
Patel rafiki mkubwa wa chama cha mapinduzi,Patel amejenga apartment kibao upanga,
salama JK Anakaa bure kwenye apartment hizo ambapo kwa mwezi ni dola 1000,huyu binti anasoma muhimbili univ.
kwa maana nyingine-handsome+patel+kernel+mamvi=bora maisha..
tafakari na chukua hatua,tatizo si viongozi ila mfumo mbovu wa serikali..je nani anaweza kutupa raha?
anserbert hayo ndio maswali magumu?

Jeetu Patel katika hili sakata la EPA anazo kampuni nyingine zaidi ya hiyo Navy Cut Tobacco.

Kampuni zingine zinazomilikiwa naye ni Ndovu Soaps Ltd, Bina Resorts,Bencon Internatational na Venus Hotel & Apartments.Accounts za hizi kampuni zipo pale karibu na holiday inn kwenye ile benki. Na pesa zote kutoka EPA zilipitia pale.

Hizo apartments za Upanga ndo vinaitwa Venus Apartments.

Huyu bwana katika hili saga amekuchukua a very big chunk.
 
Huyu Jeetu aliishia wapi na mkwara wake na wanasheria wake wa Uk (sijui Masons sijui Mansory) kuhusu kuishtaki JF? machizi wengine wakishalewa hela za wadanganyika bwana...
 
mmoja wa watu wanaotajwa kuhusika na wizi wa fedha za EPA Bw. Jeetu Patel imethibitika yuko Dar ambapo anasubiri kibano cha mahojiano siku chache zijazo. Haijajulikana ni ushawishi gani umetumika lakini vyanzo vya kuaminika vinaonesha kuwa kinachosemwa kurudishwa fedha za "EPA" ni mojawapo ya dili ambazo Jeetu kapewa ili asipambane na kibano kikubwa zaidi.

Mpango ulipangwa ni kuhakikisha baada ya kurudishwa fedha nyingi za EPA basi watakapotajwa hadharani, kutakuwa na sympathy kwa wahusika na logic itakuwa "waliohusika wameonesha uzalendo wao, na walitambua makosa na kwa vile wamerejesha kiasi kikubwa basi tunaamini kuwa hawatarudia tena". Makofi yatapigwa mwenye kusifiwa atasifiwa na shujaa atajulikana.
 
mmoja wa watu wanaotajwa kuhusika na wizi wa fedha za EPA Bw. Jeetu Patel imethibitika yuko Dar ambapo anasubiri kibano cha mahojiano siku chache zijazo. Haijajulikana ni ushawishi gani umetumika lakini vyanzo vya kuaminika vinaonesha kuwa kinachosemwa kurudishwa fedha za "EPA" ni mojawapo ya dili ambazo Jeetu kapewa ili asipambane na kibano kikubwa zaidi.

Mpango ulipangwa ni kuhakikisha baada ya kurudishwa fedha nyingi za EPA basi watakapotajwa hadharani, kutakuwa na sympathy kwa wahusika na logic itakuwa "waliohusika wameonesha uzalendo wao, na walitambua makosa na kwa vile wamerejesha kiasi kikubwa basi tunaamini kuwa hawatarudia tena". Makofi yatapigwa mwenye kusifiwa atasifiwa na shujaa atajulikana.

Whaat? hivi mwizi ukiiba ukijulikana ukirudisha ulichoiba ndio basi hamna hata kesi ni msamaha tuu? Hivi seria ya wahujumu uchumi inasema je? na kuhusu wizi sheria nayo inasema je?
 
Ina maana wakirudisha hela ndo mambo yatakuwa yamekwisha? Hawana kesi ya kujibu?
 
Whaat? hivi mwizi ukiiba ukijulikana ukirudisha ulichoiba ndio basi hamna hata kesi ni msamaha tuu? Hivi seria ya wahujumu uchumi inasema je? na kuhusu wizi sheria nayo inasema je?

Mtoto

Kila kitu kinawezekana Tanzania, siwezi shangaa kabisa jamaa wakipata free lunch...and ride

Si unaona Dito pamoja na kuuwa kwa makusudi anapeta tu na biashara za asali nasikia hutumia gari la serikali vile vile...hii ipo Tanzania tu
 
Hivi mnafikiri Lukaza na zile complex za makazi akirudisha zote zikapewa wafanyakazi wa serikali ataonekana mbaya? Si ataonekana kama Ali Baba?
 
Back
Top Bottom