Jeeeee, wakiristo wa Tanganyika watakubali Mkiristo wa Kutoka Zanzibar Kugombea urais 2015?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeeeee, wakiristo wa Tanganyika watakubali Mkiristo wa Kutoka Zanzibar Kugombea urais 2015??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Prophet, Jun 19, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni wale wa ccm.

  inajulikana kuwa kwa sasa kuna kila harakati ndani ya chama kinachojiita tawala watu kujipanga kuwa wapangaji wa magogoni-feri. wengi wao wanaamini anguko la mzee wa monduli ni sawa na anguko la tanganyika. hakuna tena mkiristo kama lowasa anayeweza kugombea urais kwa chama cha magamba. membe inasemekana amefoji jina...ni msilamu. sita alishazimwa na mafia, kawekwa kwenye kikombe kama dawa ya loliondo. hana chake. wengine kama kina makongolo kazi yao kujenga baa tu. mawe matatu hajulikani. asha-rose jina lake lina utata. ni kama bajaji...si gari, si pikipiki. magufuli kama jina lake tu. akili yake na pombe sawasawa. anapenda masifa. nani anaweza kugombea kwa tikiti ya ccm? viongozi wa dini za kikiristo wanatishwa. mfano wanasingiziwa wanauza unga. wengine wametolewa waranti ya kutiwa korokoroni popote watakapoonekana.

  lakini kushoto kulia ukicheki kwa makini utagundua siri. mfano mambi ya kambi ya jeshi na mauwaji ya gomngo la mboto na huseni mwinyi kugoma kujiuzulu wala kuomba radhi kwa sababu anajiandaa kufuata nyayo za baba yake. mkuu wa jeshi la polisi ni shehe. waziri wa polisi ni shehe. kamanda wa polisi mkoa ilipo ikulu ni shehe. raisi ni ustaadhi. bakwata ni shina la ccm. nyerere kafa. lowasa kafunikwa. looo!  ngoja nisogese laptop.

  sasa hapa fikiria. kama wakiristo wanataka rais ajaye asiwe shehe maana yake mpaka sasa miaka 4 kabla ya uchaguzi, hawajui nani atagombea kupitia magamba. hawajui na wanatishwa kila leo. ngoja kwanza. zanzibar 99% ni mashehe. na tumesikia jinsi wakiristo waishio visiwa va unguja na pemba wanavochomewa makanisa yao. hawana pa kuabudia. hatari.

  sasa kama tunataka mgombea urais wa ccm awe mkiristo, basi atoke zenji. lakini zenji patachimbika. maana wazenji hawataki kusikia kitu kinachoitwa ukiristo. lakini watu wanajipanga kuhakikisha raisi ajaye anatoka zenji. moja wapo jk mwenyewe. wanapanga misikitini mkakati huu.

  halahala.

  mwisho wa yote mradi wao utatekelezwa.

  tanzania kujiunga na OIC na kadhi. mabomu kama somalia na nijeria.

  kwa herini.

  mtasema mi mwehu. [poa. mimi mwehu. kwani nani asiyejua watznaznia hawapendi kuambiwa ukweli!

  ama nitapigwa ban.

  messeji sent.
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  yeyote tu, mwenye akili nzuri na sera nzuri sio za kuwagawa watanzania kama mkweree.
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  LOL... Yupo huyo Mkristo?
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,929
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  Tanzania tunataka tuongozwe na SLAA.
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ifike mahali tuache kushabikia mambo ya UDINI. Naamin hayajengi, wala hayana faida yoyote! Tz na mambo ya UDINI wapi na wapi? Hebu acheni bana!
   
 6. MAYOO

  MAYOO Senior Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Acha kuota, magamba hayawezi kutoa rais 2015! Wangu mimi ni Dk wa ukweli (ph.D). Rais makini atatoka cdm. Hao zenj mbona wanatamaa sana hicho kijinchi chao hakiwatoshi! C wanasema zenj ni nchi, sasa wanataka nini tena huku kwenye nchi yetu? Sory kwa atakayekampeniwa na jk kwani hatashinda kwa jins watz walivyomchoka huyu jamaa!
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  aliyekwambia tunachagua dini nani??
   
 8. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi unategemea mtu anayeandaliwa na jk kurithi pango la magogoni atakuwa na akili nzuri?

  stay put for more disastrous regime if ccm win again.
   
 9. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hata sasa serikali yenu inafanya kazi kwa muongozo wa Dr. slaa.
   
 10. J

  JABEZ Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni upuuzi kuanza kumfikiria rais ajaye kwa dini yake. WaTZ hawachagui shehe, padiri au Askofu, wanacgagua kiongozi wa nchi anayeongozwa na katiba. Ndugu Prophet unafanya makosa kudhani kuwa dini ya mtu ndio inayoongoza, unaangukia kwenye mtego wa CCM na wajinga wengine ambao nia yao ni kuivuruga hii nchi.
   
 11. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NEC na CC za CCM. Piga hesabu unipe % ya wakiristo na mamwinyi kwenye hivyo vitengo.
   
 12. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maneno hayo yalikuwa na mantiki kipindi nyerere akiwa hai. tuliyazika tarehe 14 october 1999.
   
 13. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Tunataka atoke chadema hata kama ni muislamu au mkiristo kikubwa awe kichwa sio mfa maji. Hatutaki kiongozi atayeendeshwa kwa remote.
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Sawa!% hailingani bt na sisi kama watz tusikubali kuendeleza alichakianzisha jk. Yeye ameamua kuwagawa wa tz kwa Dini zao kwa sababu na faida zake binafsi, ila tusimpe nafasi. Kuendelea kuongelea Udini ni kumsapoti. Tukatae abaki na aibu! Watz wote ni ndugu! Hatuna ukabila wala udini. Alaaniwe anayeleta udini tz.
   
 15. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,664
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Huyu aliyeweka hii thread ana AKILI,ame focus mbali,binafc nimeipenda,cngrtltns mkuu!
   
 16. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,741
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Kukubali kufanyiwa kampeni na mtu km jk basi hiyo inadhihirisha kwamba una matatizo makubwa ya uwezo wa kufikiri.
   
 17. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si bora sokoni, lakini hii ya sasa kujenga kibla kila ofisi ya umma inaleta shida sana. kodi zetu zinatumiaka vibaya. yaani ofisa wa dini ya muslimu akipewa kituo cha kazi anaweka masharti ya lazima kujengewa kibla. looo!
   
 18. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,849
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hata kama halijakutoka rohoni anafaaa, haijalishi dini au dhehebu gani tunataka wakututoa hapa tulipo na kutupeleka kwenye maziwa na asali
   
 19. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ahaa! kumbe bado ulikua haujaja kutoka Abbottabad wakati ule kiranja mkuu akiwa "mtukufu" alhaj AHM. Sisi tuliwekuwepo tulishuhudia misikiti ikioteshwa kila penye sehemu yenye uwazi. Mingine ilibidi ama barabara zifungwe au ziipindishwe ili kuruhusu ujenzi.
  Projection is your most reliable defence in which you accuse others of doing evil that is or has been done by yourself.
   
 20. emmanuel1976

  emmanuel1976 JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wee bwana acha huu utani, kwani chadema ni kanisa? mbona ccm wamejenga miskiti hadi viwanja vya ndege nk. Wenyewe wameingiza udini katika nchi ambayo haikuwa na dini Jadili hoja kama huwezi nyamaza.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...