Jee, wimbi la mageuzi ya kisiasa katika mataifa ya kiarabu yameleta manufaa yoyote...?

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
541
175
sote tumeona mapinduzi yaliyotokea Misri, Libya na kwingineko....jee yamekuwa na faida..?auhasara..?

Kwa wananchi walioongoza mapinduzi hayonini maoni yenu kuhusu hili.....!
 
Yamekuwa na faida kubwa sana kwani baada ya mapinduzi, sasa heshima inakuwepo kwa wakubwa na wadogo, yale madharau ya viongozi kuwakandamiza wananchi wa chini yana kwisha. na rais awapo magogoni anakaa kimachale kwani akizengua tu naye anapinduliwa,

hasara ni kuyumba kiuchumi kutokana na uharibifu mkubwa miundombinu na rasilimali nyinginezo zilizababishwa na machafuko hayo.

Maoni yangu natamani hata na hapa bongo sikumoja tuzipige kumuondoa huyu mkoloni mweusi ccm, najua wengi tutapoteza maisha ila uhuru wa kweli utapatikana.
 
mimi naona wamejiongezea matatizo tu heshima bila huduma njema wapi na bbbwapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom