Jee Prof. Lipumba naye kujitokeza hadharani na kutoa ya moyoni?

1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
11,182
13,526
Jana tumeona na kushuhudia Dr. Slaa akitoa ya moyoni kuhusu Lowassa na Sumaye. Je, Profesa naye atajitokeza na kusema yake kwanini aliamua kujiuzulu uenyekiti wa CUF. Na kama akifanya hivyo hemu tujadili na kubashiri kile atakachosema profesa huyo wa uchumi.
 
Labda wamwongezee hela zaidi awaite Press kubwa zaidi na irushwe live
 
Alipokuwa akihutubia wewe hukusikia?

Hatuan muda huo sasa. Tunasonga mbele kulikomboa taifa.

Mwenye taarifa za maendeleo ya mikutano ya kampeni na nini kinasemwa na wagombea, atuletee hapa.
 
Back
Top Bottom