Jee, Nyerere alitaifisha wote? au ali baguwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee, Nyerere alitaifisha wote? au ali baguwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Dec 25, 2010.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wazungu waliokuwa na mashamba makubwa, walirudishiwa thamani ya mali zao, wakiristo waliokuwa wanamiliki zaidi ya nyumba moja, hakuna hata mmoja alietaifishwa. Mabenki ya wazungu, yalirudishiwa mitaji yao!

  Jee, Nyerere alitaifisha wote? Au alibaguwa?
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 7,971
  Likes Received: 5,189
  Trophy Points: 280
  Pumba zingine hazifai hata kulisha kuku.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama unajina la mkiristo alietaifishwa liweke hapa, hapo ndio utakuwa umepepeta mchele badala ya pumba!
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,460
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Ally Sykes ni mkristo. Nyumba zake hazikutaifishwa. Acha udini we!
   
 5. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,541
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 280
  Dogo DSM, bange bangeni zitakupeleka stepu kauzeni. Wakati wa kutaifisha ulikuwa bado hujazaliwa!
   
Loading...