jee ni kifungu gani cha sheria kinachoweza kukutia hatiani kwa kuota ndoto...?

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
500
225
wan jf natumaini mko salama wote
ninaomba kuwauliza wataalamu wa fani ya sharia kilichoandika na kusema ukioota ndoto Fulani kuhusu jambo fulani liwe zuri au baya dhidi ya mtu au nchi unatiwa hatiani.
tunaomba umakini wa kujibu hoja na kama we si mwanasheria pita tuu...
ahsanteni.....!!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,790
2,000
W
wan jf natumaini mko salama wote
ninaomba kuwauliza wataalamu wa fani ya sharia kilichoandika na kusema ukioota ndoto Fulani kuhusu jambo fulani liwe zuri au baya dhidi ya mtu au nchi ******* hatiani.
tunaomba umakini wa kujibu hoja na kama we si mwanasheria pita tuu...
ahsanteni.....!!
We ni mwanasheria? Basi kama si mwanasheria na umepata ujasiri wa kuuliza, basi ngoja na wasio wanasheria wajibu. That way tutachanganua
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
24,815
2,000
wan jf natumaini mko salama wote
ninaomba kuwauliza wataalamu wa fani ya sharia kilichoandika na kusema ukioota ndoto Fulani kuhusu jambo fulani liwe zuri au baya dhidi ya mtu au nchi ******* hatiani.
tunaomba umakini wa kujibu hoja na kama we si mwanasheria pita tuu...
ahsanteni.....!!
Ndoto haisimuliwi hadharani kajaribu kuota umelala na mke wa Masai mwenye sime na mkuki halafu kamsimulie mume kuwa umeota unamgegeda mkewe usiku kucha non stop halafu uone huyo Masai atatumia kifungu gani cha sheria kukujibu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom