Elections 2010 Jee, NEC ingekuwa imeteuliwa na Mwenyekiti wa Chadema, matokeo yangekuwa vipi?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Wadau, nauliza:

Jee, hii Tume ya Uchaguzi (NEC) ingekuwa ndiyo imeteuliwa na Mwenyekiti wa Chadamea, badala wa yule wa CCM, jee matokeo ya uchaguzi huu yangekuwaje?

Kwa wale ambao wako tayari kujibu kwamba tume hiyo itaipendelea Chadema, basi hii ita-prove kwamba tume hii siyo huru, au siyo?

Kuna umuhimu ya kuwa na Tume huru kabisa, na siyo ile inayoteuliwa na mwenyekiti wa chama kimoja chini ya mwavuli wa urais.
 
Mkuu mbona jibu unalo ''We jail the petty thieves and appoint the great ones to public office.'' this includes Bwana Kiravu...laiti ungemuona pale Loyola jana ungemuonea huruma...anapokea simu kila dakika kuagizwa nini la kufanywa...guess by wao?
 
i wish ningekua na uwezo wa kusikiliza maongezi ya simu zoote za wahusika wa nec am sure ningezimia kwa mazungumzo yao ya mikakati ya wizi or mazungumzo ya vikao vyao(closed door meetings)
 
Back
Top Bottom