Jee mabalozi wa nje tanzania wanaheshimu itifaki hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jee mabalozi wa nje tanzania wanaheshimu itifaki hii?

Discussion in 'International Forum' started by Sijali, Apr 14, 2012.

 1. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,062
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda sasa. Itifaki za Kimataifa za Kidiplomasia zinawataka Mabalozi wanaowakilisha nchi zao, wahudhurie uwanja wa ndege wakati rais wa nchi anaposafiri nje (kumuaga) na pia anaporejea nchini (kumlaki). Hata ikiwa safari hizo zinatokea usiku manane!
  Kwa vile hivi sasa rais wetu mtukufu JK amekwishafanya safari za nje zipatazo 70? tangu ashike 'utawala', jee, mabalozi hawa wamekuwa wakitekeleza itifaki hii bila kukosa?
  Mlioko Bongo mwaweza kutuelimisha juu ya hili.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hizo safari 70 ni kwa miezi mi3 au kwa kipindi hiki cha awamu ya pili

  sidhani kama wanafuata..
   
 3. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,062
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Mkuu Ndeticha, nakusudia tangu alipochukua 'utawala' miaka 6 iliyopia. Ni safari ngapi vile? Nilisimama kuhesabu mwaka 2007!!!!!
   
Loading...