Jee kuna uhusiano wowote kati ya mabomu yanayo lipuka na askari kupelekwa dafur?

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,642
8,416
Wana jf kama mnakumbuka tukio la mbagala lilitokea wakati tunapeleka askari wetu Dafur.
Hili nalo linatokea wakati tunapeleka askari wetu Dafur.

Great thinkes hebu kuneni vichwa nyinyi mu wadau ktk USALAMA WA NCHI YETU.
KUNANI?
 
Back
Top Bottom