Jee ktk ukushanyaji wa maoni ya Katiba, Z’bar itakuwa na maoni yake binafsi.

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1]Jee ktk ukushanyaji wa maoni ya Katiba, Z’bar itakuwa na maoni yake binafsi au tutaingizwa ktk mkumbo wa Tanzania?[/h]Written by amini // 12/07/2011 // Habari // No comments

Ashekelea Sudani kujitenga lakini Back home aikandamiza Z'bar.

Mimi sijawafahamu viongozi wetu wa SMZ(BLW) wamekusudia nini kusema kila kitu tusubiri maoni ya katiba ya Muungano wa Tanzania ili tutowe maoni yetu ktk maswala magumu ya kero za Muungano?.
Sasa nauliza maoni ya Wzanzibar yatakuwa tafauti na ya Watanzania Bara au tutatiwa ktk mkumbo wa wote ni Wtanzania?.
Maana ikiwa bada ya mauzo muisabu mapato ni mtu moja ambae ni Bunge la Muungano ambalo lina Wabunge wachache kutoka Zanzibar ukilinganicha na asilimia ya Wabunge wa Tanzania Bara.
Jee tutaamini vipi kuwa Zanzibar na Wazanzibar maoni yao yataisabiwa kama ni nchi wakati wenzetu walikwicha sema Zanzibar sio nchi na nisehemu tu ya Muungano wa Tanzania sasa kweli tutakuwa na power ktk Bunge as Zanzibar kuheshimiwa maoni yetu na kutolewa mamuzi kwa udogo wetu wa wabunge ktk Baraza?.
Mimi hapa pananipa wasi wasi mkubwa kuona kuwa ikiwa Baraza letu Wenyewe la Uwakilishi halikujikaza ili Zanzibar kuwa na Sehemu ya maoni yake binafsi basi kusubiri maoni ya Sitta nikuja kumalizwa na kusubiri hasara ktk Bunge.
Wenzetu nia yao na lengo lao sio kuipa nafasi ya kujiamuliwa mambo yao Zanzibar ndio ukaona wanavyo kwamicha mambo na kuvuruga vipi leo wagatae mfumo wa Serekali tatu ambayo ya tatu ndio ya shirikicho wakubali mfumo wa Serekali mbili ambayo hii ya pili ni ya Muungano na Zanzibar iko wapi Tanganyika? au hii ya pili ndio Tanganyika?
Mimi sizani kuwa tukipeleka mamuzi yetu kwenye Bunge kuamuliwa tunaweza kupata nusura.
 
Back
Top Bottom