Jee kiongozi wetu huyu anasema ukweli au kampeni zimeanza?

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Ali Karume: Isles govt not doing well

2009-01-12 11:00:44
By Joyce Kisaka
As Zanzibar celebrates 45 years of its revolution today, Ali Karume, the brother of the Isles president, Amani Karume, has said his brother`s government has not done well on the political terrain although economically it was on a sound track.

Karume, who is the Tanzanian Ambassador to Italy and the second son of the first Isles president, Abeid Amani Karume, told `The Guardian` in an exclusive interview at the weekend that despite the fact that his brother`s government had turned Zanzibar into a centre for tourism attraction it had failed to end the prevailing political logjam.

``There is an increase of tourists and investors today because the government has improved the environment for investment. There has been an increase in the number of tourist hotels and as a result, many employment opportunities have been created,`` he said.

Karume said however that despite these positive achievements, in the political arena, Zanzibar was still painting a bad picture both locally and internationally.

He said it was the duty of the government to ensure that long-lasting solutions were found on the negative image of the Isles` political situation, painted to the world.

``The world knows that Tanzania is a peaceful country, but it still has doubts on the ongoing political impasse in the Isles; and this is a failure on part of the government that is in power,`` he insisted

Ambassador Karume said President Jakaya Kikwete once promised to amicably solve the political impasse in Zanzibar.

He commended Kikwete`s ongoing efforts in addressing the matter, but said the process had taken too long since the accord or `Muafaka` team drawn from the Civic United Front (CUF) and Chama Cha Mapinduzi (CCM) finalised its work early last year.

According to Ambassador Karume the discussion took 14 months and the two sides agreed to present the decision to their respective parties from which CCM came with the idea of a referendum.

``The issue is while constitutionally referendum is allowed, there are some issues that need referendum but not that one. To me, this is a failure,`` he stressed.

He added: ``What I see is that a power sharing deal in the Isles is the long-lasting solution to the ongoing political impasse.``

When asked whether he agreed with the complaints that Pemba has for a long time been isolated, the ambassador said: ``This is a very wrong perception�. the truth is that Pemba has a different perception of politics.``

He explained that Pemba Island needed to take the three top positions in the Isles government such as the post of Chief Minister and his Deputy.

He, however, said that Tanzania had twice appointed Vice Presidents from Zanzibar, specifically from Pemba during one occasion of which Seif Sharif Hamad was the Isles Chief Minister.

Commenting on the 2010 general elections,he said: ``I expect to vie for the post of Zanzibar Presidency. I am sure I will manage to lead Zanzibar. And people should look at political issues from an individual rather than family basis. We are different people with different abilities.``

He said if he got the chance to become president, he would form a coalition government in Zanzibar.

He, however, said he would be happy when time comes where the President of Zanzibar would come from Pemba Island.

Last week, the outgoing US Ambassador, Mark Green, said that the political climate in Zanzibar would improve if the Isles major party leaders declared that they respected their rivals as patriotic Zanzibaris and Tanzanians.

Green said he had noted the heated rhetoric that some partisans from both sides of the political divide used against their rivals.

``Honest political disagreements can be and should be discussed respectfully between fellow citizens who share a common desire for the well-being of their shared community,`` said Green in his farewell remarks in Zanzibar.

He said that leaders had a duty to teach their supporters the truth and to correct those who put party interests ahead of the interests of the community, adding that responsible leaders denounced irresponsible supporters.

Green referred to democracy as a dialogue that required mutual respect, urging political leaders to discuss, debate and even argue about Isles` policy options by all means, but asking them to remember that their political rivals were not enemies.

He said he was convinced that much of the bitterness in Zanzibar politics stemmed from traditions of political exclusivity whereby, power was exclusively held in the hands of a few.

``I believe that for the Zanzibar society and its economy to flourish, for Zanzibar to begin to tap its potential fully, its politics must come to be characterised by compromise, mutual respect and shared responsibility,`` he said.

Green clarified that once the political competition in Zanzibar was channeled through a structure that reassured all citizens that their rights will be respected even if their rivals are in power, then governance would improve hence full economic potential in the islands would be realised.

``It is a moral thing to do and it is also good business sense since everyone wins, investors and tourists are attracted to well governed, stable regions and they stay away from areas plagued by conflict and poor governance,`` Green explained.

He said the current set of Zanzibar political leaders was capable of reaching a power sharing agreement and implementing it in a sincere fashion that would serve the best interest of all islanders.

``I believe these leaders will agree on an arrangement that gives confidence to all political players so that the 2010 elections in Zanzibar will be free, fair and peaceful.

This is crucial, because Zanzibar cannot afford another controversial and disputed election,`` he concluded.
• SOURCE: GUARDIAN
 
Huyu anajiona kuwa bora zaidi ya ndugu yake. Anajiona kuwa anastahili zaidi kuiongoza Zbar kuliko Amani....kwamba yeye is the real Karume.
 
Ukisikia kutia chumvi kwenye habari ndio kama ulivyochangia,Kamanda Jasusi
 
Huyu anajifagilia tu, hamna lolote. Kwa nini hakusema lolote mara baada ya uchaguzi Mkuu pale SISIEMU na ndugu yake walipocheza rafu kule ZENJI???
 
Ukisikia kutia chumvi kwenye habari ndio kama ulivyochangia,Kamanda Jasusi
Kibunango,
Sijatia chumvi chochote. Nimemsikia kwa masikio yangu mwenyewe Ali akisema kuwa yeye ndiye real Karume. Go figure! Hata mashahidi ninao.
 
Huyu anajiona kuwa bora zaidi ya ndugu yake. Anajiona kuwa anastahili zaidi kuiongoza Zbar kuliko Amani....kwamba yeye is the real Karume.

Kaka ni kweli kabisa

He is real Karume...in all aspects

Hatari lakini salama..

Tanzanianjema
 
Ali Karume: Isles govt not doing well

2009-01-12 11:00:44
By Joyce Kisaka

Commenting on the 2010 general elections,he said: ``I expect to vie for the post of Zanzibar Presidency. I am sure I will manage to lead Zanzibar. And people should look at political issues from an individual rather than family basis. We are different people with different abilities.``

• SOURCE: GUARDIAN

Nepotism! Yaani Karumes watawale Zanzibar Miaka 40! Yakhe! Wengine mmelala usingizi?
 
Kaka hiyo ndio Znz...

Uliondoka Ufalme mmoja ukaingia Ufalme mwengine...

Liliondoshwa tabaka moja likaingia tabaka liengine.....

Dhana ya mapinduzi ya Znz haina tofauti na mapinduzi mengine ya kibwanyeye, tofauti ni kuwa watwana(samahani kwa kutimia neno hili) wakageuka mabwenyeye...Waliotaka kuyafanya mapinduzi ya 1964 kuwa mapinduzi ya kijamaa ya kujenga usawa na nguvu ya umma, wote waliishia kubaya.....

Tanzanianjema
 
Ali Karume: Isles govt not doing well

2009-01-12 11:00:44
By Joyce Kisaka
As Zanzibar celebrates 45 years of its revolution today, Ali Karume, the brother of the Isles president, Amani Karume, has said his brother`s government has not done well on the political terrain although economically it was on a sound track.

Karume, who is the Tanzanian Ambassador to Italy and the second son of the first Isles president, Abeid Amani Karume, told `The Guardian` in an exclusive interview at the weekend that despite the fact that his brother`s government had turned Zanzibar into a centre for tourism attraction it had failed to end the prevailing political logjam.

``There is an increase of tourists and investors today because the government has improved the environment for investment. There has been an increase in the number of tourist hotels and as a result, many employment opportunities have been created,`` he said.

Karume said however that despite these positive achievements, in the political arena, Zanzibar was still painting a bad picture both locally and internationally.

He said it was the duty of the government to ensure that long-lasting solutions were found on the negative image of the Isles` political situation, painted to the world.

``The world knows that Tanzania is a peaceful country, but it still has doubts on the ongoing political impasse in the Isles; and this is a failure on part of the government that is in power,`` he insisted

Ambassador Karume said President Jakaya Kikwete once promised to amicably solve the political impasse in Zanzibar.

He commended Kikwete`s ongoing efforts in addressing the matter, but said the process had taken too long since the accord or `Muafaka` team drawn from the Civic United Front (CUF) and Chama Cha Mapinduzi (CCM) finalised its work early last year.

According to Ambassador Karume the discussion took 14 months and the two sides agreed to present the decision to their respective parties from which CCM came with the idea of a referendum.

``The issue is while constitutionally referendum is allowed, there are some issues that need referendum but not that one. To me, this is a failure,`` he stressed.

He added: ``What I see is that a power sharing deal in the Isles is the long-lasting solution to the ongoing political impasse.``

When asked whether he agreed with the complaints that Pemba has for a long time been isolated, the ambassador said: ``This is a very wrong perception�. the truth is that Pemba has a different perception of politics.``

He explained that Pemba Island needed to take the three top positions in the Isles government such as the post of Chief Minister and his Deputy.

He, however, said that Tanzania had twice appointed Vice Presidents from Zanzibar, specifically from Pemba during one occasion of which Seif Sharif Hamad was the Isles Chief Minister.

Commenting on the 2010 general elections,he said: ``I expect to vie for the post of Zanzibar Presidency. I am sure I will manage to lead Zanzibar. And people should look at political issues from an individual rather than family basis. We are different people with different abilities.``

He said if he got the chance to become president, he would form a coalition government in Zanzibar.

He, however, said he would be happy when time comes where the President of Zanzibar would come from Pemba Island.

Last week, the outgoing US Ambassador, Mark Green, said that the political climate in Zanzibar would improve if the Isles major party leaders declared that they respected their rivals as patriotic Zanzibaris and Tanzanians.

Green said he had noted the heated rhetoric that some partisans from both sides of the political divide used against their rivals.

``Honest political disagreements can be and should be discussed respectfully between fellow citizens who share a common desire for the well-being of their shared community,`` said Green in his farewell remarks in Zanzibar.

He said that leaders had a duty to teach their supporters the truth and to correct those who put party interests ahead of the interests of the community, adding that responsible leaders denounced irresponsible supporters.

Green referred to democracy as a dialogue that required mutual respect, urging political leaders to discuss, debate and even argue about Isles` policy options by all means, but asking them to remember that their political rivals were not enemies.

He said he was convinced that much of the bitterness in Zanzibar politics stemmed from traditions of political exclusivity whereby, power was exclusively held in the hands of a few.

``I believe that for the Zanzibar society and its economy to flourish, for Zanzibar to begin to tap its potential fully, its politics must come to be characterised by compromise, mutual respect and shared responsibility,`` he said.

Green clarified that once the political competition in Zanzibar was channeled through a structure that reassured all citizens that their rights will be respected even if their rivals are in power, then governance would improve hence full economic potential in the islands would be realised.

``It is a moral thing to do and it is also good business sense since everyone wins, investors and tourists are attracted to well governed, stable regions and they stay away from areas plagued by conflict and poor governance,`` Green explained.

He said the current set of Zanzibar political leaders was capable of reaching a power sharing agreement and implementing it in a sincere fashion that would serve the best interest of all islanders.

``I believe these leaders will agree on an arrangement that gives confidence to all political players so that the 2010 elections in Zanzibar will be free, fair and peaceful.

This is crucial, because Zanzibar cannot afford another controversial and disputed election,`` he concluded.
• SOURCE: GUARDIAN

Kwa wale wenye kuzingatia methali za kiswahili nitapenda kuwa kumbusha huu mmoja unaosema :Meno ya Mbwa Hayaumani
 
Kaka ni kweli kabisa

He is real Karume...in all aspects

Hatari lakini salama..

Tanzanianjema

Huyo ndio Ali Bwana,Yeye ana mitazamo yake mwenyewe!!Hamsikilizi yeyote.....tafuta muda uulize waliowahi kufanya nae kazi,ni mtu mwenye maamuzi yake mwenyewe....alipotoka Ubalozini Ujerumani hakupangiwa kituo cha kazi alirudishwa Wizarani mara tu Prof.Mahalu alipoondolewa Italy aliiomba nafasi hiyo mwenyewe kwa Muungwana!!

Balozi Ali ameonyesha wazi kuitaka nafasi ya Urais Zanzibar...sasa sikiliza vumbi litakalotimka huko!!Jamaa ni msema hovyo...atawavuruga CCM ambao nao inaonekana wamejipanga kumuingiza Waziri kijana kutoka Bara kujaribu nafasi hiyo...
 
Mwawado,
Hata huyo waziri kijana kutoka Bara hafai, kwa maoni yangu. Ni yale yale ya kuendeleza usultani au utawala wa kifamilia. Zanzibar can do better than that.
 
Ni kweli Mkuu inawezekana kabisa kuwa Waziri huyo Kijana hafai kwenye nafasi hiyo...Lakini hivi sasa sio siri kabisa, pitapita karibu na hawa Waungwana utaona jinsi wanavyojipanga kuingia katika kinyang'anyiro hicho...kuna Wakuu wengi serikali Bara wanapiga kampeni ya kumuwekea njia safi kijana......

Niliwahi kumuuliza Mkuu mmoja tabia hii ya kukabidhiana madaraka,akanijibu kuwa hao "vijana wana sifa na kwa ujumla maji hufuata mkondo" na akaniambia/tania "subiri uone Chelsea akiwa Gavana au seneta huko Arkansas katika kipindi hichi kifupi cha miaka mitano kwa kufanyiwa kampeni na watu wazito serikalini huko US......Mambo haya sio kwetu tu ni dunia nzima"
 
"vijana wana sifa na kwa ujumla maji hufuata mkondo" na akaniambia/tania "subiri uone Chelsea akiwa Gavana au seneta huko Arkansas katika kipindi hichi kifupi cha miaka mitano kwa kufanyiwa kampeni na watu wazito serikalini huko US......Mambo haya sio kwetu tu ni dunia nzima"
:D :D
Huo utani una nafasi kubwa sana katika siasa za visiwani
 
Wakuu ninarudia kumkubali ally abeid amani karume, ni yeye aliyethubutu kutamka hadharani kuwa ni lazima serikali ya mseto zenj, mwaka jana amerudia hilo na kusema kuwa anautaka urais huo bila kumung'unya maneno yake. Nilisimama upande wake humu jf na nitaendelea kudumu ktk upande kwani wanaompinga hawajaja na kitu critical aginst him zaidi porojo.

Huyu ndiye tiba kwani amekuwa mkweli zaidi kuliko wote.
 
Wakuu ninarudia kumkubali ally abeid amani karume, ni yeye aliyethubutu kutamka hadharani kuwa ni lazima serikali ya mseto zenj, mwaka jana amerudia hilo na kusema kuwa anautaka urais huo bila kumung'unya maneno yake. Nilisimama upande wake humu jf na nitaendelea kudumu ktk upande kwani wanaompinga hawajaja na kitu critical aginst him zaidi porojo. Huyu ndiye tiba kwani amekuwa mkweli zaidi kuliko wote.

Mkuu FDR.Jr ni kweli huyu jamaa huzungumza mambo magumu kwa wenzake wazanzibar hata baadhi ya wabara kuyazungumza hadharani, hasa la serikali ya mseto. Lakini huyu mtu ni hatari sana, ameangalia upepo wa JK. JK alikuwa anataka kujaribu kulimaliza suala la Zanzibar kwa kuwafanya wawe na Serikali ya mseto. Lakini wahafidhina, wakiongozwa na Rais wa sasa wa Zanziba, Amani karume wamelipinga hilo kwa nguvu zote. Mpaka ndani ya kikao cha NEC CCM kilichofanyika Butiama wakafaulu kuleta hoja mpya ya kura ya maoni kwa wananchi.

Sasa Rais ajaye wa Zanziba anatakiwa awe mtu atakayekubali kuunda Serikali ya mseto ili kuweza kumaliza ama kupunguza misuguano ya wazanziba. Manake huyu wa sasa haruhusiwi kugombea tena kwa mujibu wa katiba. Sasa Ali Karume anacheza mchezo wa kuvizia, kwa kuwa ameliona hilo, ndio maana anafungua mdomo kwa nguvu zote kuzungumzia suala la mseto. Ili wale wanaotaka iwepo, hasa CCM bara waweze kumpitisha kugombea kwa kujua huyu itakuwa rahisi kulifanikisha hilo jambo. Na ukumbuke kwa urais wa Zanzibar, CCM bara wana maamuzi makubwa.

Kwa hiyo, Ali Karume hajachanga karata zake vyema. Alitakiwa tu kujua urais sio ufalme kwa TZ. Yani waongozane ndugu, atoke Amani, aje Ali. Haitawezekana, anapiga kelele tu kusaidia Serikali ya mseto, ila yeye hatopitishwa hata siku moja.
 
Mwawado,
Hata huyo waziri kijana kutoka Bara hafai, kwa maoni yangu. Ni yale yale ya kuendeleza usultani au utawala wa kifamilia. Zanzibar can do better than that.

Ukitoa kuwa ni mtoto wa Rais Mstaafu, nini kasoro yake?

Tanzanianjema
 
Hii ilikuwa zaidi ya miezi kumi nyuma....
Kuna mdau aliuliza tumejifunza nini kwenye mchakato wa USA, nahisi Ali Karume kafuata mfumo wa wagombea(wa US) kujitangaza miaka miwili kabla.

Zanzibar wanahitaji Agent of change mambo ya Dynastic Politics ni dalili za woga na kutojiamini.
 
Wakuu ninarudia kumkubali ally abeid amani karume, ni yeye aliyethubutu kutamka hadharani kuwa ni lazima serikali ya mseto zenj,
Msimamo wake huo uliwavutia wengi hata Katibu Mkuu wa CUF aliguswa...
SIKU chache baada ya Balozi wa Tanzania nchini Italia, Ali Karume, kutangaza azma yake ya kutaka kugombea urais wa Zanzibar mwaka 2010, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad amesema, balozi huyo ana uwezo kuliko kaka yake ambaye ni Rais wa sasa wa Zanzibar.

Katibu huyo wa CUF aliliambia gazeti hili katika mahojiano maalum wiki hii kuwa; "Ali ana unafuu mkubwa walau anaweza kukubalika. Ameanza kutambua matatizo yaliyopo Zanzibar, hii kidogo inanipa faraja kwamba kuna mtu anayeweza kutambua matatizo yaliyopo ndani ya nchi, alisema Maalim Seif.

Akiwalinganisha Balozi Karume na kaka yake Amani Karume, Seif alisema, Balozi Ali ni bora kwa kuwa anaufahamu ukweli na kuukubali.
 
Back
Top Bottom