Jee huu tuuite Ubaguzi wetu Watanzania?

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Nimeshangazwa na kitendo cha mwandishi wa Habari akimtaja dereva aliyesababisha ajali kwa kuanza kutanguliza asili yake kwa kuwa ni Mtanzania mwenye asili ya Kieshia. Nikajiuliza kwanini kwa huyu na wengine hawatajwi kwa asili zao?
 
Back
Top Bottom