Jee Huu ni Mpasuko au ndio Dizaini yenyewe?

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
20080327055421_normal_809_split.jpg
 
jamani...mmmh!
Usikute ni fasheni mpya ya wadada...
Bongo watagombea hii makitu kama njugu!
 
hee!! wadada wetu wakitinga hizi mbona balaa kwenye daladala......kutakuwa na kesi za ubakaji nyingi sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom