Jee hivi ni kweli Chadema kinakwenda mpera mpera au ni wandishi tu wenye kuhangaika na chajio?

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,333
1,195
Wandishi wameanza kusambaza kile wanachokiamini kinaendelea ndani ya chadema kuwa kinakwenda mpera mpera
na wakati wowote ule kuanzia sasa lolote linaweza kutokea na tusije tukashangazwa,Jee kuna ukweli wowote na habari wanazo towa?Chadema wenywe wamechukuwa hatuwa gani ?nakumbuka jinsi CUF ilivyopigwa vita na wandishi wa aina hiyo na wananchi wengi walikubali na kuamini yaliyokuwa yakiandikwa na hisi na sasa inatumika fomula ile ile zidi ya Chadema.
 
Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,024
2,000
Waandishi gani hao na kinakwenda mpera mpera vipi Mkuu? Hebu tiririka!

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,749
2,000
Chama kinachokusanya kodi kwa ajili ya kupigana na maadui umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi ndicho kinaenda mpera mpera kwa kuwa hatuoni kama tunashinda vita dhidi ya maadui hao.
 
Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,333
1,195
Waandishi gani hao na kinakwenda mpera mpera vipi Mkuu? Hebu tiririka!

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2

Mkuu husomi magazeti ya hapa Nyumbani ?kwa kifupi tu jinsi walivyo towa tafsiri zao juu ya uongozi wa chadema kuwa sasa hauelewani tena na kuna mpasuko ambao hata kwa welding hauzibiki tena binafsi nimeshangazwa.
 
Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,749
2,000
Mkuu husomi magazeti ya hapa Nyumbani ?kwa kifupi tu jinsi walivyo towa tafsiri zao juu ya uongozi wa chadema kuwa sasa hauelewani tena na kuna mpasuko ambao hata kwa welding hazibiki binafsi nimeshangazwa
Mkuu sasa unalenga kutwambia nini kwa thread hii?
 
Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,024
2,000
Mkuu husomi magazeti ya hapa Nyumbani ?kwa kifupi tu jinsi walivyo towa tafsiri zao juu ya uongozi wa chadema kuwa sasa hauelewani tena na kuna mpasuko ambao hata kwa welding hauzibiki tena binafsi nimeshangazwa.

Tafsiri gani hizo Mkuu. Nayasoma sana ila kwenda mpera mpera sioni. Kwani kina majukumu gani mpaka kiandikwe hivyo na kupewa tathmini?

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Ally Kanah

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
1,479
1,500
Mkuu husomi magazeti ya hapa Nyumbani ?kwa kifupi tu jinsi walivyo towa tafsiri zao juu ya uongozi wa chadema kuwa sasa hauelewani tena na kuna mpasuko ambao hata kwa welding hauzibiki tena binafsi nimeshangazwa.
Babylon Samahani mkuu unataka Ban ya maisha hapa JF weee endelee na hoja zako hizo
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom