dux limit
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 143
- 55
Kabla ya 25 October 2015 hili jina lilikuwa si maarufu Tanganyika, mimi binafsi pamoja na kufatilia kwa karibu uchaguzi wa October 2015 kwa pande zote mbili Zanzibar na Tanganyika lkn sikuona na wala sikujua kama kuna viongozi wenye kukamata media ktk uchaguzi ule zaidi ya Lowassa, Magufuli, Kova, Lubuva na JK.
Lakini baada ya tarehe 26 October liliibuka jina ambalo lilitawala ktk vyombo vyote vya habari na kuyapindua majina yote yaliyokuwa yakivuma zaidi yake.
Hapo ndipo nilipogundua kuwa Mungu anaweza kumuinua mtu yeyote na kwa mda wowote, hii imenifanya nimkumbuke sana Babu wa Loliondo!