Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 371
Hivi inakuaje jecha anatangaza mambo ya marudio ya uchaguzi wa zanzibar akiwa peke yake tofauti na ule uchaguzi halali alioufuta kana kwamba yupe peke yake kwenye tume je kawatenga wenzake au yeye ametengwa na wenzake