TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Hivi Kweli Watanzania Mnaamini Jecha alikurupuka na Kufuta Uchaguzi wa Sehemu ya Nchi, Jambo la Hatari hivyo, Bila Kushauriana na Watu Fulani Fulani? Alipelewaje Majeshishi? Ukweli ni Kuwa, Kikwete na Mkapa ndio waliomtuma Jecha. Period. Wasitudanganye. Unaweza Kufanya Jambo la hatari lenye kuweza kuhatarisha usalama wa nchi ati bila hata Kujaribu kujua Mkuu wa nchi atasemaje. Na kwa bahati tu ati Jecha aungwe Mkono na wakuu wote wa Nchi!
Tazama Kwa Makini Body Language za Kikwete na Mkapa wakati Dr. Shein ambaye sio halali tena wa Zanzibar alivyokuwa Akizomewa, Bungeni.
Angalia Majibu ya Kunya anayowapa BBC, baada ya Kuchakachua uchaguzi wa Zanzibar Mwaka 2000 Majibu yake Ni Upuuzi, Msikilize ati anasema ati waangalizi hawawezi Kujua Kama Uchaguzi ni wa haki au la kwa kuwa pale siku 21. Hawa wapuuzi wanapanga Mipango ya wizi wa Uchaguzi Kutoka Bara. Na Ukimsikiliza, Msikilize akisema, "Hapakuwepo na Malalamiko au Kasoro yoyote siku ya uchaguzi" Na akaongeza Kwa Jinsi hiyo Ni Upuuzi Kurudia Uchaguzi kwa sababu hiyo. Hiyo ni(2000)
Sasa Mkapa Uchaguzi wa 2015 hakukuwepo na Malalamiko au Kasoro Vituo vya kupiga Kura, Kura zilipigwa zikahesabiwa na matokeo yakabandikwa Kutani. Siku nyingi Baadaye Kunaaletwa hadidhi za Bulicheka Jecha Mliyemtuma, Mnasema Uchaguzi Urudiwe! Mbona 2000 Ulikataa Uchaguzi Usirudiwe kwa Kuwa Uchaguzi Uliisha kwa amani na bila malalamiko. Na huwezi kurusu Uchaguzi Uudiwe kwa malalamiko ya baadaye. HUU UNAFIKI WA SASA UNATOKA WAPI?