Je! Zoezi la kusajiri simu za mkononi halina uhusiano na ufisadi wa kuchakachua kura? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je! Zoezi la kusajiri simu za mkononi halina uhusiano na ufisadi wa kuchakachua kura?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Oct 21, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Tuendelee kujadili na kupanuana upeo wa mambo, ninajaribu kujiuliza kwamba iwapo data base ya makampuni ya simu(tigo,zain,voda n.k) itatumiwa na mafisadi wa kuchakachua kura kwa njia ya technohoma nini madhara yake?

  Nakumbuka wengi walisajiri kwa kutumia vitambulisho vya kupigia kura kama .I.D kwa zoezi hilo.Ni vema tujadili hili ili kupata mawazo mbadala ya kudhibiti toka kwa wadau.

  Karibu tujadili
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwani ukipiga kula id yako inatokeza kwenye kalatasi ya kura?
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wameishiwa hao na vidole vyao viwili vinavyoungua
   
Loading...