nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,199
- 6,890
Jumuiya ya kimataifa (wabeberu) wameikalia kooni serikali ya Mh. Samia Suluhu, kwa kutuma mawakala wake kufuatilia kila hatua jinsi kesi ya kubumba (mchongo) inayomkabili Mh. Mbowe na kutuma ripoti kwa kila hatua inavyoendeshwa.
Na wameahidi hakuna kutuma misaada hadi pale watakapomuachia Mh. Mbowe huru na imeonekana kumuachia huru hivihivi itakuwa ni fedheha kwa awamau ya tano chini ya uongozi wa Mh. Samiah Hassan hivyo ikachezwa sinema kibaraka Zitto Kabwe amuombee msamaha kwa Mh. Rais ili ionekane kaachiwa kwa kivuli cha demokrasia.
Hivyo tegemeeni Mh. Mbowe jabali la siasa linalomnyima usingizi Mh. Raisi kuachiwa muda wowote mwanzoni mwa Januari, ila haiondoi kitu katika uongozi huu wa mabavu wa awamu ya tano chini ya Mh. Raisi na ajue fika kajiwekea doa tayari kwa kuwaminya wapinzani.