Je, Zitto Kabwe alipotosha kuhusu operesheni ya kummaliza (SAI)?

There are 2 probabilities my dear sister here, 1 it might be true what zitto is saying coz if you rember hon tundu lissu before he was attacked he had issued such info and we never took him serious, 2 it might aslo be a diversion strategy by speaker ndugai to summon the CAG, coz the speaker knows very well such a summon is and will draw attention from the public and other parties, so either one of the 2 i still beleive what hon zitto said, this gava of jiwe is full of evil and murderers, be blessed
Hiyo point ya pili ina mantiki kiasi fulani, if that is the case, tunasafari ndefu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Great Thinkers,

Naomba tulitazame suala hili kwa umakini.

Jumamosi iliyopita, Mbunge Zitto Kabwe alitoa taarifa kwamba amepata taarifa juu ya kuwepo operesheni maalum ya kutaka kumnyamazisha(kumuua). Taarifa kamili ipo kwenye uzi huu > Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua) - JamiiForums



Sasa, ndani ya masaa 48 tangu Zitto avujishe mpango huo, ikaja taarifa mpya kutoka kwa Spika. Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu - JamiiForums

Inadaiwa kuwa lengo la Spika Ndugai ni kujaribu kumnyamazisha CAG (SAI) asiendelee kuzungumzia madudu ya Serikali/Bunge. Hii kwangu haiwezi kuwa coincidence.

Kwa msingi wa taarifa ya Zitto, ambayo alieleza kuwa kuna operesheni maalum ya kummaliza SAI (kirefu chake ni Supreme Audit Institution) ambaye kiongozi wake ni Prof. Assad;

Naomba kuhoji kuhoji maswali 3 yafuatayo;

1. Je, Zitto alijihami akidhani mlengwa ni yeye badala ya CAG?
2. Je, Zitto anashiriki kwenye mipango hii kwa kuhamisha magoli makusudi?
3. Kwanini Zitto ajinasibishe na SAI?

Kwa kuwa tunaye humu jamvini, Itapendeza zaidi kama Zitto mwenyewe atakuja kufafanua hili. Otherwise, karibuni nyote kwa mawazo yakinifu.
Hizi operations huwa na levels
1. HPT 1
2 HPT 2
3. HPFT3 na kuendelea
Kirefu chake ni high profile target..... Sasa hizo targets pamoja na kuwa HP lakini zinawekwa kwenye category ya umuhimu... Who should go first... And what is the target and impact!

Jr
 
Hakuna uongo yote alioyabanisha zzk in ukweli. mlitaka aanike kila kitu wahusika wameshajua kuwa wamejulikana.lazima wapangulue mpango waanze upya.
 
Back
Top Bottom