Je,Ziara/Safari alizofanya rais toka aingie madarakani ngapi zimeleta faida ...?

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Wadau leo nimekuja kwenu mnijuze kuhusu hii kitu.
Ni safari ipi ama ngapi,kwasafari zote alofanya muungwana tunaweza pata matokeo positive kutokana na safari hizo.Kama taifa limefaidika nini hasa na safari hizi?
 
Back
Top Bottom