je zanzibar tumeungana na nani ikiwa watanganyika wenyewe wameikana inchi yao?


Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
606
Likes
14
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
606 14 35
"mmmm me hili suala linanikereketa hasa rohoni mwangu ,kwanini tuunganganie muungano wakati watanganyika wenyewe wameikataa nchi yao kwa kutaka kutufanya wazanzibari mkoa? muungano muugano!!! me sijui kama kuna muungano maana zanzibar haijulikani umeungana na nani?ikiwa hakuna inch iitwayo tanganyika me si dhani kama kuna ambaye anataka muungano me sioni faida yake me naomba ifike siku tupige kura ya maoni nafsi yangu haiwezi tena kupokea dhulma hii na hasada za watanganyika…na hii inaniuma zaidi kama hadi leo boti ya mwisho iondoke na pesa zetu badarini na sisi tunaanagalia, me naomba niule hivi hadilini tutavumilia watu kuchukuliwa mali zetu na masimbilizi juu na sisi tumekaa pembeni tunaangalia?"

Sio maneno yangu.
Source:http://http://www.mzalendo.net/makala/je-zanzibar-tumeungana-na-nani-ikiwa-watanganyika-wenyewe-wameikana-inchi-yao
 

Forum statistics

Threads 1,237,532
Members 475,534
Posts 29,292,181