Je yupo mwanaume mwaminifu?

Bahati yangu

Member
Sep 30, 2013
30
7
Je yupo mwanaume ambaye hajawahi kumsaliti mpenzi/mkewe,nikianzia hapa jamvini maana kila mahali vilio vya wanawake vimekuwa vingi,japo usaliti huo wanawake wanashiriki maana wanaume hawaufanyi peke yao.
 
^^
Uaminifu tabia ya mtu..sidhani iwapo majibu utakayopata hapa yatakupa valid research
^^
 
Je yupo mwanaume ambaye hajawahi kumsaliti mpenzi/mkewe,nikianzia hapa jamvini maana kila mahali vilio vya wanawake vimekuwa vingi,japo usaliti huo wanawake wanashiriki maana wanaume hawaufanyi peke yao.

mimi hapa sijawahi kumcheat demu wangu yoyote.
 
Waaminifu wapo,#via experience...a man /woman anaweza akawa mcharuko kw mwingine bt akimpata mwingine anatulia....
 
Hata mimi najishangaa, nimekua mwaminifu sana kwa mama watoto siku hizi. Watakuwepo wachache ambao hawajawahi kucheat, nasi tuliochelewa kujua nyama ni nyama, kikubwa ni kitu unachoweza kujifunza, ni swala la maamuzi.
 
sijisifii toka nimemuo mke wangu 2005 sijawahi kutoka inje ya ndoa yangu na yeye pia huniambia hajawahi kunisaliti ingawa tumeanza uchumba 2003 nilipomjua ila 2004 nilibakwa na rafiki yake wa kike inamaana katika miaka yangu 10 ya ndoa nimetoka mara moja huu ndiyo ukweli wangu
 
Je yupo mwanaume ambaye hajawahi kumsaliti mpenzi/mkewe,nikianzia hapa jamvini maana kila mahali vilio vya wanawake vimekuwa vingi,japo usaliti huo wanawake wanashiriki maana wanaume hawaufanyi peke yao.

Swali la ajabu saana tu. Weye kumeguliwa na wa mtu mwingine tayari unachukulia kuwa kila mtu ana cheat? Mbona sija wahi ku cheat. Mie nina miaka 40 ndani ya ndoa na simjui mwanamke mwingine zaidi ya huyu sabuni ya roho yangu hapa. My sweety angekuwa humu jf angenitetea.
Pole sana kwa kuibiwa, ulimwamini mno lakini weye ukakosea, kumtikisia kibiriti mbele ya house girl wakati unajua sura yake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom