Je yupo mtanzania anaependa umasikini na maradhi?

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
407
0
Je kuna Mtanzania au mtu yeyote katika dunia hii ama iliyopita anayependa UMASIKINI na MARADHI au afya mgogoro na alosto?

Au kuna Mtanzania asiyependa leo hii kutajirika na kuwa na afya njema?

Mi simfahamu yeyote labda kuna Mwana JF anajua awaye yote ambaye anapenda kuwa hivyo, sina hakika na hilo, nijuacho ni kwamba sote tungependa leo hii tuondokane na hali tulizo nazo tuende katika neema zaidi, ni hulka ya binadamu kutamani kupiga hatua kila siku.

Ni sawa na mtoto, hakuna anayependa mwanaye adumae mahali pamoja twapenda kuona wanetu wakikua, wakipiga hatua mmoja kwenda nyingine kimakuzi na kimaisha pia.

Mchumi wa maarufu duniani Paul zane (nampenda sana mchumi huyu kwa jinsi anavyojibidiisha kutuelimisha) katika article yake ya The perfect Storm of Opportunity: anasema:

The emerging industry of WELLNESS and NETWORK MARKETING are combining to create today's and tomorrow's wealth"

Hizi ni sekta zinazokuja juu sana duniani, hazikuwepo miaka 30 iliyopita na kwa hapa Tanzania hazikuwepo kabla ya mwaka 2005, hivyo ni fursa mpya duniani na tanzania kwa ujumla, lakini imeshika sana kasi huko duniani na zaidi marekani kama ambavyo utaona katika article hiyo.


Hii ni fursa ambayo mtu yeyote mwenye nia ya kuwa na AFYA NJEMA na kutengeneza pesa zaidi kushiriki na ni rahisi mno.

Join the WELLNESS and NETWORK MARKETING firm here.

Waweza nunua virutubisho online na kujiunga pia, kwa waliobongo TUWASILIANE HAPA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom