Je yule alimvuta Kikwete miguu jukwaani Mwanza alikuwa na maono gani?

hakuna kitu cha hatari nacha aibu kama mtafiti(mtafuta habari) anaposingizia kuwa study population haikumpa ushirikiano, stupid and poor journalistss wa tanzania hutoa habari ya mtu aliyewapa bahasha, priority yao siyo jamii inataka nini bali wao(yeye) atapata nini imediately, shame. Ndoo maana walaji hatupati habari za maana , utafikiri hawalipwi mishahara na media houses zao.
Mkuu lakini unafikiri ni Waandishi tu wanapaswa kulaumiwa? mara ngapi umesikia waandishi wamezuiwa kuingia katika mkutano? Mara ngapi umesikia waandishi wa habari wakifukuzwa katika kikao/ mkutano? Mara ngapi waandishi watafikiti wamefukuzwa katika migodi ya hapa Tanzania walipotaka kutekeleza majukumu yao? Corruption Mkuu iko kila sehemu kumbe hapo unazungumzia bahasha hatujui sehemu nyingine wanatumia kitu gani badala ya bahasha, ni mfumo mkuu, kila sehemu kuna matatizo yake ambayo tukichambua inawezekana tukaona hizo bahasha pengine ni cha mtoto. Ila ninachofurahia ni kuwa tunatambua umuhimu wao na tunataka kufaidi zaidi matunda ya kazi zao, lakini je tunaishauri vipi mamlaka husika kuweka mazingira mazuri kwa Waandishi wa habari kutekeleza majuku yao? Ndio hapa pia tunapaswa kuzilaumu mamlaka husika zinazokuwa kikwazo kwa mhimili huu muhimu. Kumbuka hata JF ni sehemu ya mhimili huo muhimu, nasi je tunawajibika vipi katika kuhabarisha jamii?
 
hapo kwenye red unaongelea mhimili wa nne wa dola mkuu.
wajuzi wa mambo wanadai kuwa huu mhimili umetetereka sana na huenda ndio unachangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo tuliyonayo. Na kwa sababu uwepo wake hautegemei ridhaa ya wananchi ndio sababu ya Watanzania wengi hawahoji uwepo au kutokuwepo kwake.
Kwa kifupi HATUNA WAANDISHI!


Bali tuna wazee wa bahasha
 
Back
Top Bottom