je yaweza tokea mjukuu wa nyerere kuja kuwa raisi?

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
watoto wa nyerere akuna hata mmoja ambaye nimewai kusikia kuitaji kugombea kiti cha uraisi, tofauti na wa karume au walishatangaza nia sema nilikuwa mdogo nisaidieni kujua wana jf
 
watoto wa nyerere akuna hata mmoja ambaye nimewai kusikia kuitaji kugombea kiti cha uraisi, tofauti na wa karume au walishatangaza nia sema nilikuwa mdogo nisaidieni kujua wana jf

Mkuu,

Pengine baba yao aliwapa usia wazigombee Urais.

Siku watakayokuwa wako karibu na mafisadi basi uwezekano upo wa hilo kutokea.
Itakuwa rahisi kwao kupandishwa chat, kupewa vyeo kwenda juu...lakini vyenginevyo kwa muelekeo wa siasa za TZ, ndio imetoka.

Pia wakianzisha chama chao na kutumia umaarufu wa babayao na itikadi na misimamo aliyoisimamia basi wanaweza kupata wafuasi wengi na pengine wataweza kugombania Urais wa TZ.

Kikatiba kila Mtz anayohaki ya kugombania nafasi hiyo anapotimiza masharti..
 
Ikitokea hivyo, hatachaguliwa kwa sababu ni mjuu wa Nyerere. Atachaguliwa kwa sababu ataonekana kuwa ana uwezo wa kuongoza.
 
Back
Top Bottom