Je ya Ditopile kujirudia kwa Makonda?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Marehem Ditopile alikuwa mtu wakaribu sana na mh Rais mstaafu. Kesi yake ya mauwaji ilibadilika nakuwa kesi ya kuuwa bila kukusudia. Akarudi mtaani nakuendelea na maisha. Dam ya yule kijana ikamlilia muumba na yeye akaondoka ktk hali yakushangaza sana.
Leo yupo kijana anutwa makonda. Amepata bahati mkuu kumsikiliza na kila asemalo linatekelezwa. Kwa midomo yake alimtaja mzee wa watu ni fisadi na Rais akauliza wananchi nimtumbue au nisimtumbue wakasema atumbuliwe siku chache baada ya kutumbuliwa Mh Kabwe akafariki.
Hili likawa somo zito kwa mkuu lakini akasema ali act kwenye maneno ya mkuu wa mkoa ambaye ndie agent wake.
Rais pasipo kukumbuka aliwahi kumuadhibu mtu mbele ya umati wa watu akasimama nakusema kijana chapa kazi hata kama zipo shutuma zinasemwa juu yako.
Rais pasipokujuwa lipo jinamizi linamfukuza kijana na uwenda kwa kutokumtengua mteule wake hilo jinamizi litaingia ikulu na kudhoofisha utawala wake na pindi anakuja shituka basi hatokuwa na nguvu tena.
Ipo laana inamsaka makonda na hii hawezi kuikimbia wala hakuna ibada itazuwia hii laana isimtafune.
Dam ya mzee kabwe inamlilia na jana ililia zaidi. What next subirin muone Maajabu ya Mungu.
MH Rais wewe unacheo na majeshi yote ila leo mm nakujia kwa jina la Bwana Mungu nakukuambia acha hii habari yakumlinda huyu kina utakuja kulia ikulu na watu watakuwa wakikushangaa. SikiliA ushauri na usiwe mgumu wa moyo kwa sababu ya madaraka.
 
Ni kweli Mkuu ndio maana hata MBOWE Damu ya CHACHA WANGWE Itamlilia MILELE na MILELE
 
HEKIMA HEKIMA HEKIMA. Omba sana Mungu akupe hekima na maarifa kuliko vyeo, mali na fedha.
 
Mungu naomba unipe maisha marefu nizidi kuona maajabu ya huu utawala. Hata huyu memba wa ccm naye leo analalama. Kweli Mungu sio achumani
Mnara wa Babeli huo baba waporomoka.
"Patam hapo".
 
Back
Top Bottom