Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

Unaandika kama mtu asiyejua sababu ya JPM kuchukiwa na waajiliwa wa serikali. Tangu siku yake ya kwanza JPM aliwafinya Wizara ya fedha na BOT. Bandarini na makontena, TRA, nk. Sasa kama upigaji ulikuwepo ni sawa, kwamba haukuonekana, lakini hadithi za kuzuiwa kuusema ni hisua zako binafsi bila ushahidi.

Watu walifukuzwa hadi majukwaani. Wengine wakalalama eti wezi wafukuzwe kwa staha! Ikaitwa ni uonevu. Nadhani umeshindwa kukumbuka yaliyofanyika, ukatunga yasiyokuwepo
Sio kwamba haukuonekana!!Kwani mkuu si ripoti ya CAG, ya 2019/2020 ndio iliweka wazi ubadhirifu huo?nitajie ni nani alifukuzwa jukwaani kutokana na ufisadi na mwisho wake akafikishwa mahakamani na kufungwa?!!ni ripoti ipi ya CAG, toka mwaka 2015, iliyowekwa wazi?huyo kakoko na huo ufisadi wa karibu bilioni 4, ilikuwa ni awamu ya ipi?kuna gazeti /tv yoyote ingeweza kuandika ufisadi ?magazeti ya mwanahalisi, tanzania daima yako wapi??ninachoweza kusema MUNGU FUNDI.
 
Hivi ile special CAG’s audit ya TRA ipo wapi? Samia ni mwepesi kuliko kilo 3 za pamba
 
Hii ofisi nayo kama iko kisiasa zaidi huwa inamfavor yule aliyemweka madarakani na mara nyingi sio wakweli!
na katika hili hata Professor Assad aliingia mtego huu wakati wa Kikwete hakuzungumza mabaya awamu ya tano akayaona mabaya.
huyu mwingine woga wa kukosa kazi na tamaduni za kujikombakomba zinafanya pia aponde kila kitu.
njaa bado ni tatizo kwa taaluma zetu!
Yours fucked Assad aliwaka sana toka alipongia 2014,kuna clip anahojiwa na radio UN,U.S.A aliwahi muita Magufuli (kabla hata hajawa rahisi,issue ya uuzaji nyumba za serikali).... ni "political entrepreneur"......sema hivi Assad amekaa sana na Magufuli,na kikwete alikaa nae mwaka mmoja tu na kusoma ripoti moja tu
 
Binafsi napata taabu sana ninapoona haya madudu yaliyofanyika wizara ya fedha na sielewi hii approach iliyotumika. If the government is eally working with single standard, basi naomba tuamkapo kesho watu hawa waombwe kurudisha pesa za walipa kodi. Tumedhamiria kujenga Tanzania ya kweli. Please hawa watu warudishe pesa zetu na pia watendaji wahusika akiwemo waziri wajiuzulu....ni aibu sana tena sana.
 
Yours fucked Assad aliwaka sana toka alipongia 2014,kuna clip anahojiwa na radio UN,U.S.A aliwahi muita Magufuli (kabla hata hajawa rahisi,issue ya uuzaji nyumba za serikali).... ni "political entrepreneur"......sema hivi Assad amekaa sana na Magufuli,na kikwete alikaa nae mwaka mmoja tu na kusoma ripoti moja tu
wakati mwingine jaribu kueleza kitu bila kutukana inawezekana unachoelewa wewe sio ninachoelewa mimi hivyo nivizuri kuchunga heshima yako sio lazima utukane!
 
Ukimsikiliza Majaliwa, anazungumza kwa mipaka. Hasemi lolote juu ya Katibu mkuu, hasemi juu ya Waziri, why? Ndo PM tuliyenaye. Enzi ya Sokoine angelala nao mbele.

Huenda pia PM anaelewa katibu mkuu na Waziri wana nafasi ipi kwenye furaha ya rais. Tuko kwa Viongozi wanaodeka kwa urafiki binafsi.
Nani ukempendeza after Mama?
 
Alimzungumzia KM kama mteule wa Rais, ina maana yeye hana mamlaka ya kumsimamisha kazi mpaka apate okay kutoka juu.
 
Yours fucked Assad aliwaka sana toka alipongia 2014,kuna clip anahojiwa na radio UN,U.S.A aliwahi muita Magufuli (kabla hata hajawa rahisi,issue ya uuzaji nyumba za serikali).... ni "political entrepreneur"......sema hivi Assad amekaa sana na Magufuli,na kikwete alikaa nae mwaka mmoja tu na kusoma ripoti moja tu
Unatueleza nini sisi wasomaji?
 
Maisha Haya ni mpito. Kuna watu zile pesa zimewafunga.

Wako jela kwa mchongo wa mkwere!!! Yeye yuko Msoga anafuga punda!!!

Huyu mkwere kama ana akili afanye kama alivyofanya Moi, akili madhambi yeke na aombe msamaha hadharani kwa wote aliowakwaza!! Ingawa wanaomsema kafa kafa wanamchulia lakini ni ukweli mtupu kuwa sasa umri umemtupa mkono na wenzie wakina Abdalla Kigoda, Gen. Makame, Jaka Mwambi, Azan Aljabri, Costa Urban Ndunguru, Ditopile na wengine wengi wa rika lake wametangulia mbele ya haki hivyo na yeye pia ajue ni karibu anakokwenda kuliko alikotoka!!!
You will be well advised to make peace with all your remaining enemies lest it is too late!!!
 
Yeyeto mtafutaji hawezi chezea pesa hivi wengi huwa ni wakwapuaji wa kodi zetu.Mpambanaji hawezi chezea pesa.
 
Attachments

  • VID-20210529-WA0030.mp4
    6.5 MB
Kwakwel tangia 2015..nlikata tamaa na maisha..nlianza kuhisi Sina Tena faida ya kuishi dunian kwa kuongozwa na mtu asietambua umuhimu wangu...
 
Back
Top Bottom