Je, Wewe upo 'Tight' kwenye fani au kazi gani?

Distance yourself from people who:
1. Lie to you
2. Disrespect you
3. Use you
4. Put you down.
1. Hakuna dhambi common kama uongo

2.

3. Huwezi epuka maana maisha ni kutumiana na ukiona watu hawakutumii bhasi ni useless.
Mimi mtu akinitumia fresh tu maana kaamini uwezo wangu, Kupata ama kukosa faida out of that ni lawama kwangu mimi mwenyewe.

4.
 
Wakuu, Nimeona nilete hii Mada hapa naamini Itatusaidia Wengi sana. Kama kuna kitu unaamini unakijua, na kukielewa kiundani, iwe kielimu au kwa uzoefu! ningependa ukiweke hapa na mtu anaweza kukuuliza swali ukamsaidia chochote kile

Mimi Nafahamu Kidogo kuhusu;

1: Ujenzi, Architecture, Biashara na Connection

2: Nina uzoefu kwenye ushauri wa Ndoa, Mahusiano, Biashara na maisha ya kupambana

3.kubadilisha nafasi kuwa hela,kuweka bidhaa mpya sokoni, bible history kidogo...na crime in general

Tukubaliane kusiwe na masihara tutasaidiana sana
Product development
Management consulting
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom