Je, Wewe upo 'Tight' kwenye fani au kazi gani?

Mkuu nifunze jinsi ya kutengeneza connection.
Ni rahisi sana mkuu...jifunze kujua kila mtu unaekutana nae anafanya biashara gani,au kazi gani, pili jitahidi sana kuchukua mawasiliano yao hasa watu wa taasisi za serikali,biashara,hospitali na penginepo...halafu

geuza hizo connection ziwe biashara kwa mfano unataka kuanzisha biashara angalia ni aina gani na watu ulionao wanaingiaje hapo ukishaona...waone face to face wakusaidie, kukuungisha mara zote uelewe

Connection inayofanya kazi ni ile tu inayokuingizia hela wewe na unaeconect nae hakuna mtu atafanya conection na wewe kama hapati kitu tengeneza hela kwa kila mtu na kila mtu atataka kufanya kazi na wewe
 
Unatumia njia gani kujifunza mkuu?? Vitabu? Wazee?? Au??
kama ya mfupa ilinitokea mwenyewe ya tezi ni kitu cha kawaida uchagani na kuhara damu ilinitokea mwenyewe...mitishamba mingi si vizuri kuisoma ni vizuri kuitumia uone matokeo kabisa
 
Ni rahisi sana mkuu...jifunze kujua kila mtu unaekutana nae anafanya biashara gani,au kazi gani, pili jitahidi sana kuchukua mawasiliano yao hasa watu wa taasisi za serikali,biashara,hospitali na penginepo...halafu

geuza hizo connection ziwe biashara kwa mfano unataka kuanzisha biashara angalia ni aina gani na watu ulionao wanaingiaje hapo ukishaona...waone face to face wakusaidie, kukuungisha mara zote uelewe

Connection inayofanya kazi ni ile tu inayokuingizia hela wewe na unaeconect nae hakuna mtu atafanya conection na wewe kama hapati kitu tengeneza hela kwa kila mtu na kila mtu atataka kufanya kazi na wewe
Kiongozi ahsante sana.
 
mkuu Miti shamba ina mambo mengi hatuyajui...
case no.1 ukiwa umevunjika mguu, ukishawekwa pop au zile chuma nenda kwenye maduka haya ya kiislamu ya kienyeji..kuna dawa inaitwa mumiani nunua ni nyeusi tii..sharti lazma uichanganye kwenye supu ya kuku ndo uinywe unakunywa mara tano au sita...wiki mbili tu mfupa umeunga

case no 1. kuna dawa naijua ukiikamua iko kama mlenda, hiyo dawa kama unaharisha damu ukinywa inakata hapo hapo yaani kama uchawi

case no 3. kuna watoto wanakua na hizi tezi permanent kama vile wako infected na ugonjwa mjubwa sana, ukimgusa mtoto kwa nje chini ya taya unakuta zimevimba, kuna mti kule moshi unauzunguka mara kumi then hugeuki nyuma kesho yake yanapotea

shida kubwa ya miti shamba ni kwamba elimu yake inapotea kwa kasi sana na watu wengi hawapendi miti shamba
Duuuh, hebu nisaidie tiba ya kizunguzungu kisichoisha mkuu...
 
mkuu tutembee kwenye mfano wako huo huo, hivi tujiulize ukweli ni walimu wangapi wamefanikiwa kimaisha? walimu wanajuana na watu wangapi? mwalimu unakuta hana hata kabiashara ka pembeni..hata tuition kweli? yeye ni kufundisha tu basi hapana imagine madoctor walivyo busy lakini wana biashara pembeni, tunachosema watu wengi hawatumii nafasi za connection walizonazo kwenye maendeleo
Majuzi nilikuwa napata bia na mshikaji wangu ambaye ni mhandisi kwenye Pub flani hivi, sasa mara jamaa akamuona mama mmoja wa makamo around 60 yrs, akamfuata na kujitambulisha, Bwana wee kumbe yule mama alikuwa mwalimu wa jamaa, tena wa hesabu!! Yule mama alikuwa na wenzake 3 wanakunywa Serengeti light, sasa jamaa akamuita mhudumu akamuambia awapelekee kreti zima la Serengeti light na nyama ya mbuzi mguu mzima. Yaani jamaa alikuwa so excited kumuona huyo mama maana anadai ndiye aliyemfanya apende hesabu na hatimaye kuwa mhandisi. Yule mama naye alipagawa na kumkumbatia mwanafunzi wake huyo.
 
Natamani Sana kujua elim ya mitishamba. Kama Kuna naeweza kunisaidia naomba anipe mwanga.

Naamini nyuvu ya Mungu ipo katika Nature ila tumepumbazwa mahali
Mkuu hii yataka moyo sana,kama sio mvumilivu huwezi,lakini pia pesa yako ndo itakufanya upate hii ilimu,kama huna pesa uvumilivu unahitajika,kama una pesa kuna unafuu kidogo

Nimesema hivyo kwa sababu kuu mbili,kuna watu huenda kwa wataalamu wa mitishamba ili khali hawana pesa ili kupewa maarifa,kwahiyo itakubidi ukae kwa mtaalamu kwa miaka kadhaa akikutumikisha,mwisho wa siku unapata kile utakacho
 
Mkuu hii haraka moyo sana,kama sio mvumilivu huwezi,lakini pia pesa yako ndo itakufanya upate hii ilimu,kama huna pesa uvumilivu unahitajika,kama una pesa kuna unafuu kidogo

Nimesema hivyo kwa sababu kuu mbili,kuna watu huenda kwa wataalamu wa mitishamba ili khali hawana pesa ili kupewa maarifa,kwahiyo itakubidi ukae kwa mtaalamu kwa miaka kadhaa akikutumikisha,mwisho wa siku unapata kile utakacho
hela ni shortcut nzuri sana..mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom