Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Kwangu mimi naweza tafsiri kama ifuatavyo.
Kiongozi ni kiongozi tu hata kama unapesa kiasi gani kumzidi. Kwenye hii picha dangote anaonekana kutoa mkono kwa heshima huku akiwa ameinama kidogo kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara.
Ila huyu mama kanyooka utadhani yupo kwenye gwaride.
Wewe je waonaje?