Je, wewe unaweza toa tafsiri gani kutokana na hii picha?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
7caebb70d3f6b51bb5af49c473f6d9fa.jpg

Kwangu mimi naweza tafsiri kama ifuatavyo.

Kiongozi ni kiongozi tu hata kama unapesa kiasi gani kumzidi. Kwenye hii picha dangote anaonekana kutoa mkono kwa heshima huku akiwa ameinama kidogo kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara.
Ila huyu mama kanyooka utadhani yupo kwenye gwaride.

Wewe je waonaje?
 
heshima huku kashika simu mbele ya kiongozi? ina maana alikua anachat then akamshtukia tu kiongozi...
na huyo mama yaelekea ndio aliempa mkono kwanza
 
ee ukija katika dorminant body language utagundua mkuu wa mkoa ameonyesha kuwa the ''dorminant one'' yani ameonyesha u-ALPHA alafu yuko leftside of the picture...so amedominate....ila kwa nyuma :p:p:p:p yuko vizuri
 
mtu aache kuangakia short finacial statement zinazo tumwa kwenye simu yake eti kisa kusalimiana?

hata kama ndio heshima kwenye maswala ya fwedha noooo!
 
Mkuu wa mkoa anaonekana ni mtu anayejiamini na kuthamini cheo chake,body language yake inaonyesha dhahiri kabisa kua hakutetereka wala kuubabaikia utajiri wa Dangote bali amethamini cheo chake as mkuu wa mkoa,safi sana mkuu wa mkoa.
 
heshima huku kashika simu mbele ya kiongozi? ina maana alikua anachat then akamshtukia tu kiongozi...
na huyo mama yaelekea ndio aliempa mkono kwanza

Wanaume wengi wa Kiislam huwa hawatowi mikono mwanzo kumpa mwanamke asiye maharim (nilioharamishiwa kuoana nao) wake kuhofia kuwa wanawake wengi wa Kiislam huwa wanatunza udhu wao.

Binafsi sipeani mkono na wanaume zaidi ya maharim (nilioharamishiwa kuoana nao) zangu.
 
Umepata faida gani labda kufanya ivyo.
 
Umepata faida gani labda kufanya ivyo.

Nnabaki na udhu wangu.

Isitoshe, ni karaha kupeana mikono hususan na watu unaojuwa wazi kuwa wakienda chooni hawachambi kwa maji.

Wengine wanajichokonoa pua, wengine wanajikuna hovyo mpaka matakoni, wengine wengi hygiene ni nil.

Besides, mwanamke na mwanamme asiye maharim wako mnapeana mikono yanini? Upuuzi tu.

Duh. Hongera
 
Halima Dendegu, aaaaah mama yuko vizuri sana huyu mwenye namba yake tafadhari!!
 
dangote ni mwafrika tamaduni zetu zinaendana na zinaheshima kwa kina mama ukienda mbali zaidi ni Muumin wa kislam angefanya hvyo hata angekuwa anaempa mkono ni mama omba omba
 
Back
Top Bottom