Je, wewe unavutiwa na nini kutoka kwa jinsia tofauti na yako?

Vampiree

JF-Expert Member
Jun 29, 2020
529
1,328
Watafiti wa mambo wanadai kuwa Wanaume wengi Wanavutiwa na Wanawake wenye Makalio makubwa lakini kwenye suala la kuoa wanaangalia sura na sio shape wala makalio

Pia, Wataalamu wa mambo wanadai kuwa Wanawake wengi uvutiwa na Wanaume ambao huwasikiliza. Na pia wanao kumbuka vitu mbalimbali vinavyo wahusu bila ata kukumbushwa.

Mfani = kama Sikuku ya kuzaliwa.

Pia, wataalamu wa mambo wanadai kuwa Wanawake wengi uvutiwa na Wanaume "Wacheshi" watao wafanya Kuwa na furaha mda wote .

Je, wewe unavutiwa na nini kutoka kwa jinsia tofauti na yako?
 
Huwa sivutiwi na wanawake wanaopenda kulia shida , immediately tu mnapoanza mahusiano
Huwa wananikata stim balaa
 
Mwanaume mwenye sauti ya kiume aseee!
Halafu ukute haongei hovyo mixer sio bishoo mixer ananifikiria mimi kila muda mixer anavaa kawaida mixer tumbo flat mixer mrefu kuliko mimi mixer mwembamba mixer anajua kuoga
 
kirafiki:
hapa tabia (mwenye mahadili, mcheshi ila asiwe muongeaji sana) ndio uwa inanivutia haijarishi una umbo zuri au la.

Mahusiano ya kimapenzi.
Hapa uwa navutiwa tu uhai wa mtu na tabia( maadiri mema na caring) yake bas inatosha, haijarishi ni mbaya sura, ana umbo zuri ama la.
 
Mimi mwanamke huwa ananivutia kabla sijampata tu ila nikishampata namuona wa hovyo balaa hata awe mzuri vipi.
 
Back
Top Bottom