Je wewe unasumbuka kupata uwezo wakulinda vio vya gari yako???.Nione!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wewe unasumbuka kupata uwezo wakulinda vio vya gari yako???.Nione!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaKiiza, Jul 19, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Kiboko ya wakwapuaji wa side mirror !!
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,297
  Likes Received: 13,007
  Trophy Points: 280
  no comment ila ndio hali ilyo tz
   
 3. cement

  cement JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Watang'oa hadi hicho kibox (kufuri) chako peleka gari kinondoni pale mitaa ya makaburini liache kama nusu saa utapata jibu lako!
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hapo si TZ kama India, angali maandishi ya hilo bango la duka. Pili sasa akiendesha ataonaje?
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Kwani ukipaki gari yako bado unahitaji tena kuendesha??
   
Loading...