hata usipotaka kujua ukweli utabaki tu kuwa siku ya kuzaliwa ni moja....
ila vilevile wapo watu ambao huamini katika elimu ya namba.
Mi nashea na mwanasayansi na genious Albert Einstein
huwezi kunifanyia hivyo wewe....siamini kwa kweli.....
watu8, binafsi cjashare na msanii,mwanamichezo,rais,wala m2 yeyote.Binafsi nimezaliwa tarehe 25 novemba...na ninashare birthday na aliyekua mtoto wa Rais wa Marekani J.F Kennedy Jr.
Vipi ninyi wenzangu siku zenu za kuzaliwa mnashare na watu gani maarufu wanaweza kuwa marais, wasanii, wanamichezo nk.
watu8, binafsi cjashare na msanii,mwanamichezo,rais,wala m2 yeyote.
Bali nimeshare na Kipenzi changu..!!,Barafu wa mtima wangu...!!,Nyonga mkalia ini..!!
Si mwingine bali ni......
Atakuja mwenyewe kujitaja.
Jitokeze basi Nyonga wangu..!!
Junior. Cux, nani nimumize roho? Watajua wenyewe la kufanya.weh nae, xa mpaka kila mtu ajue.!!! Utamuumiza roho nanii..
Junior. Cux, nani nimumize roho? Watajua wenyewe la kufanya.
Ruhazwe JR, we mbona kila sehemu 'unanifatilia?'unatafuta nini huku!