Ni tamu sana zile mbegu rafiki, huwa sibakizi hata pumba zakeNayapenda ila vile vimbegu vyeusi vinanitesa nikiviangalia vilivyojipanga,mwili unasisimka,Sijui ni hali ya kawaida au?
Hahaha jaman zisije otea tumboni
Yaani unafika cafe demu anaagiza fruit na wewe pia unaagiza fruit?? Sasa hapo nani demu nani kidume???Mmmh basi uanaume huo mateso
Yani unafika cafe demu anaagiza fruit na wewe pia unaagiza fruit?? Sasa hapo nani demu nani kidume???
Kidume anatakiwa aagize kitu terible, kitu complicate, Hapo inaagizwa pilipili na chumvi nyingi babeki....
Au demu anaagiza chipsi then kidume kinatakiwa kiagize dona kwa dagaa wa mwanza babeki