je wewe unadhani ni kwanini shabiki wa simba na yanga huombeana mabaya katika league za kimataifa?

fierceman

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
553
757
naanza na mimi kwa kusema sababu ni hii "kulinganishana kati ya simba na yanga" nasema hivi sababu nimeona shabiki wa simba mwaka huu kitendo cha kuingia robo fainali wakaanza kuwazogodoa yanga kwa kusema yanga hajawahi fika hatua kama hii tangu kuanzishwa kwa team hiyo na hii ikajenga chuki kwa yanga fans na yanga wakaamua kutia support katika timu za nje kama vile TP mazembe ambae kamkata kilimilimi simba na hivo shabika wa yanga wakawa na amani zaidi...kwa namna hii ya kulinganishana katika leagues ambazo simba au yanga hawashiriki kwa wakati mmoja hasa za kimataifa simba na yanga kamwe hawezi kuwa kitu kimoja...je wewe wafikiri nini ya weza kuwa sababu ya shabiki wa simba na yanga kuchukia katika leagues za kimataifa?
 
SIMBA YAPANDA VIWANGO VYA SOKA AFRICA NIBAADA YA KUJIZOLEA POINT 15 KWA MSIMU WA 2018/19 KWENYE MASHINDANO YA KLABU BINGWA AFRICA

ORODHA YA KLABU 70 BORA AFRICA MPAKA SASA

1.TP Mazembe ≥63
2.Wydad Casablanca ≥58
3.Al-Ahly 57
4.Espérance de Tunis ≥53.5
5.Mamelodi Sundowns ≥49
6.Étoile du Sahel ≥45
7.Zamalek ≥34
8.Horoya 30
9.USM Alger 25
9.Raja Casablanca 25
11.Zambia ZESCO United 24.5
12.AS Vita Club 24
13.RS Berkane ≥23
14.CS Sfaxien ≥21.5
15.Al-Hilal ≥19
15.Club Africain 19
17.ES Sétif 18
18.1º de Agosto 16
18.Enyimba 16
20.CS Constantine 15
20.FUS Rabat 15
20.Simba 15
23.Gor Mahia 14
23.Orlando Pirates 14
25.Al-Masry 12
25.SuperSport United 12
27.ASEC Mimosas 11
27.KCCA 11
29.JS Saoura 10
29.MC Alger 10
29.Al-Ahli Tripoli 10
29.Hassania Agadir 10
29.Lobi Stars 10
29.Al-Merrikh 10
29.Nkana 10
36.Ferroviário Beira 9
37.MO Béjaïa 8
37.CARA Brazzaville 8
37.Difaâ El Jadidi 8
37.Rayon Sports 8
41.Mbabane Swallows 7
42.Saint George 6
42.Al-Hilal Al-Ubayyid 6
42.Zanaco 6
45.NA Hussein Dey 5
45.Ismaily 5
45.Asante Kotoko 5
45.Enugu Rangers 5
45.FC Platinum 5
50.Township Rollers 4
50.Williamsville 4
50.UD Songo 4
50.AS Togo-Port 4
54.Recreativo do Libolo 3
54.Coton Sport 3
54.Young Africans 3
54.CAPS United 3
58.Petro de Luanda 2.5
58.Salitas 2.5
58.AS Otôho 2.5
58.Smouha 2.5
62.Aduana Stars 2
62.Medeama 2
62.Djoliba 2
62.Moghreb Tétouan 2
62.Kawkab Marrakeca 2
67.CF Mounana 1.5
67.Rivers United 1.5
67.Platinum Stars 1.5
70.MC El Eulma 1
70.AC Léopards 1
70.Stade Malien 1

HII RANK IMETOLEWA 14/4/2019 BAADA YA MECHI ZA KLABU BINGWA NA SHIRIKISHO KUMALIZIKA KATIKA HATUA YA ROBO FAINALI

KLABU ZILIZO WEKEWA ALAMA KAMA HII ≥ INAMAANISHA ALAMA ZINAWEZA KUONGEZEKA.
 
Back
Top Bottom