fierceman
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 553
- 757
naanza na mimi kwa kusema sababu ni hii "kulinganishana kati ya simba na yanga" nasema hivi sababu nimeona shabiki wa simba mwaka huu kitendo cha kuingia robo fainali wakaanza kuwazogodoa yanga kwa kusema yanga hajawahi fika hatua kama hii tangu kuanzishwa kwa team hiyo na hii ikajenga chuki kwa yanga fans na yanga wakaamua kutia support katika timu za nje kama vile TP mazembe ambae kamkata kilimilimi simba na hivo shabika wa yanga wakawa na amani zaidi...kwa namna hii ya kulinganishana katika leagues ambazo simba au yanga hawashiriki kwa wakati mmoja hasa za kimataifa simba na yanga kamwe hawezi kuwa kitu kimoja...je wewe wafikiri nini ya weza kuwa sababu ya shabiki wa simba na yanga kuchukia katika leagues za kimataifa?