Je wewe ni sehemu ya tatizo au ni sehemu ya suluisho ofisini?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wanajamvi

Vijana/wafanyakazi wengi wengi mofisini iwe serikalini, makampuni binafsi tuko kwenye nafasi za kati au chini kitendaji.Lakini kuwa katika level ya chini au ya kati ya utumishi au kazi haimaanishi hatuwezi kuwa kiini au chanzo cha mabadiliko chanya

Kumekuwa na tatizo moja la sisi vijana/wafanyakazi

  • kukaa na mawazo, maoni au mapendekezo yetu mazuri na ya kujenga kichwani tu
  • kuyasema sehemu isiyotakiwa bila jitihada za kuwashauri wahusika.

Huu ni udhaifu

Naleta hii mada kama changamoto kwetu sisi wafanyakazi mahali popote tulipo baada ya observation. Am open to criticism though

Nafanya kazi katika kampuni "XYZ". Kitengo chetu cha " DDD" tuko vijana wanne na watu wengine wa umri mkubwa pamoja Incharge ambaye ni mtu wa makamu.
Kuna tatizo fulani wote na tuliliona lakini hakuna kati yetu aliyewai kushika kalamu na kuandika dokezo/ memo lenye kutoa pendekezo au Idea kwenda kwa incharge wetu . Hatukuwai kumshauri kwa offfcial communication channel. Mara chache tuliliongea katika informa/Unofficial communication channel(mdomo) kati yetu na Incharge. This was never documented.

Tatizo lingine ni kusikia maneno wafanyakazi wengine wasio kuwa creative. Ukiwapa wazo katika hizo informal gathering kuwaambia unataka kumwandikia incharge/ boss kitu fulani wanakuambia "ahhhhhh unajisumbua yule hasikilizi ushauri wa mtu."
Mwisho wa siku unakuta una kitu unataka kupendekeza tena kizuri tu lakini kwa sbabau umekatishwa tamaa unatulia unaendelea kudeal na mambo kama ulivyoyakuta pamoja na kasoro zilizopo.

Tusifanye assumption kuwa Boss/incharge Fulani yuko hivi tena in a –ve way. Jaribu ku prove kwa ku document mawazo yako.

NB:
Wazo lako kukataliwa au kutofanyiwa kazi sio sign ya fauliure wala weakness.

Haya ni baadhi ya maneno aliyoniambia incharge wangu. Baada ya kudocument views zangu na kuziwassilisha kwake. Nilishangaa positive response niliyopata tofauti na niliyokuwa nasikia na kuambiwa juu yake.

Changamoto za kujiuliza vijana/wafanyakazi wenye mawazo mapya

  • Je umewai kuandika official memo kwa incharge au boss wako ya kutoa pendekezo, ushauri au wazo fulani.? If no Why?


  • Je kutokana na postion au majukumu yako kiofisi unadhani yako hakuna mabadiliko yanayotakiwa.?Umefanya nini au umechukua hatua gani?

Tusisubiri change zitoke juu. Hata maboss/ ma incharge wetu watatushukuru tukiwasaidia kuona mabadiliko chanya yanayotakiwa. Kwa hili hatutakiwi kuogopa hata kama utaonekana unajipendekeza.

Wahasibu, madereva Masecretary wa kizazi kipya wote tuna mchango na nafasi wa kuwa chanzo cha mabadiliko katika ofisi tunazofanya kazi.Lets be professional at our jobs

Kwahiyo sisi wafanyakazi na vijana tujitambue ni sehemu ya tatizo maofisini, makazini na vibaruani.

What are your Ideas?

Nawasilisha kwa mjadala​
 
Big up Sana Mtazamaji, Now unaweza badili na Jina pia..................I kid...
Ni kweli ulichokizzungumza hapo juu.

We should not live assuming this....that etc.......... CHUKUA HATUA..
Binafsi naanza kufanyia kazi..................THANKS
 
Big up Sana Mtazamaji, Now unaweza badili na Jina pia..................I kid...
Ni kweli ulichokizzungumza hapo juu.

We should not live assuming this....that etc.......... CHUKUA HATUA..
Binafsi naanza kufanyia kazi..................THANKS

Yes nadhani ni weakness yetu wengi tuko kazini wengine wana vyeti safi lakini hatujawai kutoa ushauri au mapendekezo officialy kwa memo.Mtu una degree au Diploma kwa mwaka mzima hujawai kushauri. Tumekuwa tu tunasubiri tuwe watu wa kuagizwa.

Tukiwa Pub au bar tunajadili matatizona solution za za kweli za ofisini lakini tukifika ofisini tunatulia tu

Tuchukue Hatua.
 
Back
Top Bottom