Je wewe ni mwanamke wa aina gani?

naomba maana ya ukatili na vitu gani vinahesabiwa ukatili ili twende sambamba.

Maana kwa wengine ufisadi ni katili, wengine kutoa mimba, wengine kuua.

Hebu dadavua zaidi
 
Ndugu Yangu Mbona Kigeugeu!!?..Awe Katili... Vilivile Awe Na Huruma (Yawezekana) Lakin Huo Ukatili Na Huruma Ni Ktk Mambo Gani Hasa?
Maana Anaweza Kuwa Katili Akiharibiwa Kazi Zake Binafsi,Pia Akawa Na Huruma Ktk Mahusiano Ya KiMapenzi!!

....Kwa Hiyo Wanaume Wako kundi Gani?
 
Kuna viumbe waliokuwa makatili zaidi ya makaburu wa Afrika Kusini...kuanzia watoto, kaka zao, dada zao, mama zao na baba zao?

Mwanamke akipendwa hawi katili...
 
huyu katili, yule anahuruma.
sio mtu huyohuyo mmoja ana sifa zote mbili

hujawahi Ona Mtu Anakuwa Na Huruma Ktk Mahusiano Na Mpenziwe, Lakini Huyohuyo Ni Katili Kwa Mtumishi/Watumishi Wake Kazin?

Dadavua Mkuu..Sijakupata!!
 
Back
Top Bottom