Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,782
Mimi ninacho amini ni kwamba kiumbe katili sana duniani ni mwanamke...........na kiumbe mwenye huruma ni mwanamke.
Ndugu Yangu Mbona Kigeugeu!!?..Awe Katili... Vilivile Awe Na Huruma?
....Kwa Hiyo Wanaume Wako kundi Gani?
huyu katili, yule anahuruma.
sio mtu huyohuyo mmoja ana sifa zote mbili