Je! Wewe ni Mvivu wa Kusoma BIBLIA/QURAN? Hii hapa habari Njema kwako.


Mwana Ilala

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Messages
1,287
Likes
254
Points
180
Mwana Ilala

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2013
1,287 254 180
Je! Wewe ni Mvivu wa Kusoma Vitabu vya Mungu(Biblia au Quran)!?

Pata AUDIO MP3 Biblia ya Kiingereza au Kiswahili pamoja na Quran) zikiwa kwenye Original/Genuine(SunDisk) Flash/MemoryCards Ujazo tofauti na uweze kusikiliza/jifunza Neno la Mungu Wakati una endesha GARI barabarani au ukiwa Nyumbani umepumzika.

Kwa kutumia Memory Card yako utaweza kupata neno la Mungu kwenye simu yako ukiwa kwenye Daladala au shughuli zako Binafsi bila ya kuwabughudhi wengine huku ukitumia Headphones.
Kumbuka kumjua Mungu ndio chanzo cha Maarifa.

Piga simu uletewe saizi/ujazo na Idadi uitakayo popote ulipo. Hata wa Mikoani pia huduma hii inapatikana. Usikose FURSA hii ya kujifunza Maandiko ya Mungu kwa Kusikiliza. Kwani hata "MITUME WA MUNGU" Mafundisho yao walitumia Fasihi Simulizi.

Flash
4GB= Tsh20,000
8GB= Tsh25,000
16GB= Tsh30,000
32GB= Tsh50,000

MemoryCards
4GB= Tsh20,000
8GB= Tsh25,000
16GB= Tsh30,000
32GB= Tsh50,000

Kwa Maelezo piga

***************************
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,489
Likes
280
Points
180
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,489 280 180
Hiyo bible iko kwa kiingereza Au Kiswahili na Kama kiingereza ni version gani ya bible?
 
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
13,994
Likes
4,456
Points
280
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
13,994 4,456 280
Mikoani huwa ni wapi? mie ni Nauru Island
 

Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,699