Je wewe ni muthirika wa VVU?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Yawezekana wewe ni mmoja wa waathirika wa ugonjwa wa ukimwi yawezekana una ndugu anaeumwa ugonjwa huu,...wapo wanaoamini mungu awezi kushindwa wapo wasioamini ama kwa uwoga ama imani haba....leo hii nakutangazia habari njema njoo pale ubungo kanisa la ufufuo na uzima ukiwa unaelekea kimara mwanzoni kushoto njoo upate miujiza yako njoo upate kile usichotarajia......una ndugu mwenzako noo sasa acha kuchelewa usimkatishe mwenizo tamaa
karibuni
 
UKIMWI si ugonjwa hivyo acha kudanganya watu!
Sure thing! Mi nina ndg yangu alifariki ktk mazingira ya kutatanisha, vipi mnaweza kunisaidia kumrudisha? make nilisikia mnatoa huduma hiyo. Plz niko siriaz
 
Mungu na imani ni muhimu sana. Na amini Mungu ni muweza wa yote ila naomba muwa shauri wagonjwa wanaokuja kwenu waende hospitali pia na waendelee kutumia dawa mpaka hapo maombi yata fanya kazi. Msije muka waambia watu wasiende hospitali au wasi tumie dawa.
 
wakati huo mtu akiwaambia,Tazama Kristo yupo hapa,au yuko kule msisadiki. Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu;wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule

mathayo 24:23-24
 
Back
Top Bottom