Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Umeelezea vizuri ila kwa wakristo, mzaliwa wa kwanza ni Yesu na sisi wote tunakuwa wazaliwa tunaofuata , kwaiyo ukimwamini kristo unakuwa huesabiki km mzaliwa wa kwanza .
Imani gani tena hii, mbona unapenda sana kujishusha. Huyo Yesu alizaliwa alikuta kuna watu hapa duniani na binadamu wa kwanza hapa duniani ni Mwafrika, ulikuwa hujuwi hili?
 
Unakuta mtu ni wa kwanza ila nyuma ya pazia mimba kama 4 zimeshachomolewa na bi mdashi wake,inawahusu nao wa kwanza wa aina hii??
Huko nyuma wadau wametiririka kuhusu jambo hili. So would you like to surf through au nikujibu tu kiongozi
 
Imani gani tena hii, mbona unapenda sana kujishusha. Huyo Yesu alizaliwa alikuta kuna watu hapa duniani na binadamu wa kwanza hapa duniani ni Mwafrika, ulikuwa hujuwi hili?
Jamaa mbishi kama kawaida yako ubishi. Masuala ya Imani hayajadiliwi wala kuthibishwa kwa history au Sayansi
 
Jamaa mbishi kama kawaida yako ubishi. Masuala ya Imani hayajadiliwi wala kuthibishwa kwa history au Sayansi
You need to know History ili ujuwe dini vizuri la sivyo utabaki kuwa mjinga tu wa kujiaminisha upuuzi usio na mashiko kichwani mwako kama ulivyo hivi sasa.
 
You need to know History ili ujuwe dini vizuri la sivyo utabaki kuwa mjinga tu wa kujiaminisha upuuzi usio na mashiko kichwani mwako kama ulivyo hivi sasa.
Luckily naipata history kiasi chake... Lete hoja
 
Uzi ushakuwa mrefu sana,kama hutojali mkuu niwekee direct link ya majibu yao au nijibu tu mkuu
Sorry kuchelewa kukujibu... Natumaini yule aliyezaliwa ndio atakuja kua mzawa wa kwanza..kesi hiyo ni sawa na kesi ya mtu kufanya master. Bado aliyezaliwa ndio atachukua status hiyo.

Lakini je vipi mzawa wa kwanza akifariki??? Bado baraka zake zinaweza kurithiwa na mtoto mwingine.
 
Enzi zile wakati mzawa wa kwanza wa Mungu amba pia ni mzawa wa kwanza wa familia ya Joseph na Mariam alipokua dunia watu walitoka maeneo mbalimbali kuja kumsikiliza. Wengi walitamani japo kumgusa tu wakiamini kwamba katika kumgusua kwao shida na mateso yao yataondolewa.

Kuna watu fulani ilibidi wampitishe mgonjwa juu ya paa la nyumba ili aweze kumfikia Yesu maana watu walijaa mpaka sehemu ya kupita ilikosekana.

Lakini watu wa sasa hivi wamepata nea ya kuweza kuupokea mwili na damu ya mzaliwa wa kwanza kuula na kuunywa! Ni neema iliyoje kwa mtu aipokeae damu na mwili wake. Watu waligombania kushika japo pindo la nguo yake ili wapate kupona. Ila sisi leo hii tunawwza kula na kunywa mwili na damu yake.
Kitu ambacho malaika na viumbe wengine hawawezi kupata✌️


Hata kumuona hawawezi 🤔🤔
 
Usiku wa leo ndio usiku ambao mzaliwa wa kwanza wa Mungu alijitoa maisha yake kwa ajili ya wazaliwa wa kwanza wote ulimwenguni 💪
 
Ili kuondoa kushikamana na mambo mabaya maishani inabidi mtu ujitambue wewe binafsi unapenda nini hasa. Je unapenda Kuwa mwema? Unapenda kuiba?unapenda mwanamke wa namna fulani?unapenda mwanaume wa aina fulani nk nk.. ukishajua ukipendacho basi futa yale uyapendayo nawe yatakua yanashikamana nawe.

Hatima yako ipo mikononi mwako, usiache Nature ikuchagulie Hatima yako kwa vitu ambavyo hupendi. Hivyo basi tukisha tambua yale tunayoyapenda na kuayafuata tutaifanya nature ituletee yale pia mabayo tunayapenda.Hapo tutakua tumekwepa kufuatwa na mabaya.
 
Back
Top Bottom