Je, wewe ni msichana wa umri kati ya 18-21 miaka......basi fungua ndani upate maelekezo zaidi.

wapo wengi sana huku jf maana hata mimi nimepata hukuhuku tu tena very beautiful and intelligent..........watanzania tunufaike na hii kitu ati internet bwana....syo tu muda wote site zileeee zileeeeeeeeee
 
mh kweli iko kazi atch cv zako na picha hapa na barua 7 za majirani zako wanakuonaje unasifa za kupata vyote au ndo kujidai hapa kumbe mchafu wa tabia
 
[/COLOR]
Uzuri umemtafuta mwenye miaka 18-21 atakuelewa sana hapo pekundu, si unazijua akili za tamthiliya jumlisha fesbuku!?
Kila la kheri mkuu..

kweli mkuu maana na mimi sijachakachua kabisa hivyo akijitokeza anaye kidhi viwango basi mimi na yeye.
 
ww je cfa unazo?coz reltnsh is a 2way traffc has 2 balanc othrws utachemka,weka nawe sid yako il hao gals wadecd kuwa nawe wameridhia sifa zako kutafuta gal ckama waenda sokon kununua boxer uitakayo ww whl yenyewe haina say
 
Mimi ni kijana mtanashati mwenye moyo wa upendo pamoja na ukarimu, nimeona vema kumtafuta mchumba kwa njia ya mtandao huu wetu kwani ni sehemu ambayo wengi wapo ktk uhuru na kujiamini zaidi. Hivyo basi kama dada, msichana unajiamini na una sifa angalao 70% basi jiskie mwenye bahati kwa kunitafuta kwa njia ya email.

SIFA
1. Uwe mwenye upendo na ukarimu kwa wote bila ubaguzi
2. Akili na uwezo wa kufanya maamuzi magumu ktk maisha (risk taker)
3. Uwe mcha Mungu ktk Kristo
4. Uwe na uwezo wa kuridhika na kidogo upatcho maishani
5. Mvumilivu ktk ugumu wa maisha na matatizo ya hapa na pale
6. ***usiwe na mahusiano na mwanaume mwingine toka mwanzo.
7. Uwe na umbo lenye wastani (mrefu na mnene wa wastani)
8. Rangi siyo kigezo ila usafi utakuongezea nafasi kubwa mno
9. Usafi wa mwili na mavazi ni moja ya sifa kuu
10. Mwisho kabisa kama upo udsm au ndo unajiandaa kuingia utapata bonasi ya 10%


i wish you good luck. Tumia email hii kunitafuta rainchris02@gmail.com

Lol..mzee una mapompo kinyama..kwa haya mashauzi nahisi ukiwa face to face na mwanamke anaweza kuanza kujiuliza umuhimu wake kwako since you are acting 'god' here..I suggest upitie normal trial and errors za dating tu,zitakufundisha kudeal na hawa viumbe..ni mtazamo tu,usikasirike.
 
mh kweli iko kazi atch cv zako na picha hapa na barua 7 za majirani zako wanakuonaje unasifa za kupata vyote au ndo kujidai hapa kumbe mchafu wa tabia

Ha ha haaaa...nimeipenda hii..reference kila mahala manake..kama benki au daftari la sensa tu
 
Nakuonea huruma mdogo wangu humu utakutana na matapeli wengi kuliko walio makini. Kama una mada ilete ichangiwe ipasavyo lakini kutafuta mchumba humu jiongeze mwenyewe bwana mdogo.
 
Back
Top Bottom