Je, wewe ni msichana wa umri kati ya 18-21 miaka......basi fungua ndani upate maelekezo zaidi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, wewe ni msichana wa umri kati ya 18-21 miaka......basi fungua ndani upate maelekezo zaidi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Only Kilo, Aug 4, 2012.

 1. The Only Kilo

  The Only Kilo JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi ni kijana mtanashati mwenye moyo wa upendo pamoja na ukarimu, nimeona vema kumtafuta mchumba kwa njia ya mtandao huu wetu kwani ni sehemu ambayo wengi wapo ktk uhuru na kujiamini zaidi. Hivyo basi kama dada, msichana unajiamini na una sifa angalao 70% basi jiskie mwenye bahati kwa kunitafuta kwa njia ya email.

  SIFA
  1. Uwe mwenye upendo na ukarimu kwa wote bila ubaguzi
  2. Akili na uwezo wa kufanya maamuzi magumu ktk maisha (risk taker)
  3. Uwe mcha Mungu ktk Kristo
  4. Uwe na uwezo wa kuridhika na kidogo upatcho maishani
  5. Mvumilivu ktk ugumu wa maisha na matatizo ya hapa na pale
  6. ***usiwe na mahusiano na mwanaume mwingine toka mwanzo.
  7. Uwe na umbo lenye wastani (mrefu na mnene wa wastani)
  8. Rangi siyo kigezo ila usafi utakuongezea nafasi kubwa mno
  9. Usafi wa mwili na mavazi ni moja ya sifa kuu
  10. Mwisho kabisa kama upo udsm au ndo unajiandaa kuingia utapata bonasi ya 10%


  i wish you good luck. Tumia email hii kunitafuta rainchris02@gmail.com
   
 2. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  Acha watoto wasome, tafuta walio miaka 24 na kuendelea, kama vipi subiri subiri 6 wenye 18 watakuwa 24 au baada ya miaka 3 wenye 21 watakuwa 24.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  wee una sifa gani??
   
 4. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Jamaa anataka kufanya uvuvi haramu kwa kutumia net ili apate hadi watoto wa samaki
   
 5. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mm nashindwa kuwaelewa w'ume kutafuta w'ke kwa matangazo domo zege au wakati ss tunanagonga tutakavyo mashugamami wenye digrii wanafunzi na h girls. Poleni sana madomo zege.mademu njenje kitaa hadi unajitangaza kwenye jf,fb ,outdoor na magazeti
   
 6. The Only Kilo

  The Only Kilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni mwanaume mwenye kujali na pendo la dhati. Nina jali na kuthamini hisia za wengine.
   
 7. The Only Kilo

  The Only Kilo JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Respect yourself and you will be respected.... Mwishoni utapata matokeo yako kaka kila la heri
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  wee umeorodhesha sifa 10, zako umetaja 2 tu tena baada ya kuulizwa.

  Unajua hapa unaonyesha dalili zipi? Selfishness.

   
 9. a

  amina ali Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  utampata tu waukweli ila vuta subra kwa haya majibu ya humu
   
 10. The Only Kilo

  The Only Kilo JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  No kongosho nimejaribu kuonesha zilzobeba nyingine zote!
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Namba 5&6 uta wakimbiza wengi.

  Ila usijali utapata
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Habari yako amina!
   
 13. a

  amina ali Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari ni njema tu na za kwako je!!!
   
 14. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  umejiona hauna sifa nini?
   
 15. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,284
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  of course, soon I will be a retired officer; next.
   
 16. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Haya ndio madhara yawalimu kuwa katika mgomo
   
 17. The Only Kilo

  The Only Kilo JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hellow i dont get you
   
 18. n

  njangu Member

  #18
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ina maana ww hujawah kuwa na mwanamke? mbona unatafuta mwanamke ambaye hajawah ku-do?
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Me mzima sana

   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu huogopi matapeli?
   
Loading...