Baadhi ya sifa za mke mwena ni hizi hapa;
i. Hufumbua kinywachake kwa hekima, Na sheria ya wema katika ulimi wake. Wanawake wengi hawajuikuutumia ulimi vizuri Ukali, maneno ya mikato, matusi, ukaidi n.k. kwao nimambo ya kawaida. Wengi wanatawaliwa na HASIRA na WIVU, akiona mumewe anachekana mwanamke ni Kosa la jinai, mwanamke anafura wala hata hawezi kuongea, haliya hewa inabadilika hata paka nyumbani wanatambua kuwa hali ni Mbaya.
ii. Hufanya kazikwa Moyo na Huamka alfajiri na mapema
Kuna wanawake ambao ni wavivu kupindukia, inafika wakatihata kutandika kitanda anamtuma House Girl, wanaume ni rahisi sana kuvutwa naanayemhudumia kwa ukaribu, House girl akiandaa chakula, mara kitanda, mara majiya kuoga, mara apige deki chumbani n.k. Haichelewi mwanaume kulipa fadhila kwawema anaotendewa.
iii. Ni msafi naanajua kuandaa mavazi yanayofaa kwa familia yake
Kuna wanawake ambao ni wachafu usishangae kukuta sufuriakwenye makochi, chumba cha kulala ni stoo ya nepi za mikojo na nguo chafu,wengine kuoga ni anasa. Mwanamke ni MAJI, sharti mwanamke awe msafi muda wote.Wanaume wote wanapenda Usafi, marashi hata ya mchina yasikose, Mwanamkehakikisha Reception inakuwa Safi na kuwa katika hali ya kumfanya Mumeajisikie kujipumzisha kwa Raha mstarehe.
iv. Jali na timizaMahitaji ya NDOA kwa mume wako
Sulemani anasema mwanamke mwema Taa yake haizimiki usiku,kuna wanawake wavivu kwa swala hili, pia kuna wanaopenda kulipa visasi kwakuwanyima waume zao huduma, utakuta wiki nzima mama apanda kitandani hukuamevaa KOMBATI utafikiri ni askari anaenda vitani. Wanaume ni sawa na Mbuziambao hawachelewi kukata kamba wakikosa majani walipofungiwa. Fanya makosayote, lakini usijefanya ujinga wa kumkomoa mume kwa kumnyima huduma ya Ndoa,hilo ni kosa la Jinai. Hakikisha huduma hizo zinaboreshwa, nenda na wakati ilimradi isiwe kinyume na taratibu za Mungu.
v. Mwanamkeanatakiwa kujua kupika chakula kitamu, ambacho familia itafurahia.
Wanawake wengi hasa wa siku hizi hawajui kupika, ndio maanautakuta wanaume wengi wanaishia kula hotelini au kwa mama ntilie, kama umetokabara basi usione aibu kujifunza kwa watu wa pwani namna ya kuunga NAZI kwenyechakula. Akina mama ni wajibu wao kujifunza Mapishi, Mchicha peke yake unawezakuwa na mapishi zaidi ya 10, wanaume wanapenda chakula chenye ladha Test,mfanye mume akumbuke chakula cha nyumbani.
vi. Mwamini Mumewako, wivu na hisia mbaya ni adui wa ndoa yako. Usitoe siri za ndoa yenu kwamashoga au ndugu zako. Muda wote muombe Mungu akupatie hekima ya kuongea pinditatizo linapotokea, Muombee mume wako ili Mungu amsaidie pia awe na Hekima yakutunza Ndoa kwa Uadilifu na Upendo.