Je wewe ni miongoni mwa wanafiki, wasiopenda mapenzi ya watu?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Imekuwa ni kawaida kuwasikia wapenzi wakisema "wanafiki hawapendi tunavyopendana",, "wanataka kutogombanisha", "kuongea kawaida yao", na mengine mengi? Hivi ukipendana na mtu ni lazima wawepo watu wasiopenda? Hawa wanafiki ni akina nani?
 
ninavojua mtu mnafiki ana sifa kuu 3! 1. Akizungumza husema uongo 2. Akitoa ahadi hatimizi 3. Akiaminiwa hufanya hiyana. mfano tumekuamini tumekupa kodi zetu badala ya kuzitumia inavopaswa unaikanja(unaitafuna). Linganisha sasa na hao watu wako, jubu unalo mwenyewe.
 
mimi ni mnafiki, siwezi kufurahia mapenzi ya watu wawili wasiopaswa kuwa pamoja,mfano: nina rafiki na uhusiano unaoonekana wenye mapenzi ya kweli na baba wa rafiki yetu mwenye mke wake na familia kubwa tu,baba hatimizi majukumu yake hadi watoto wanalalamika lakini hawara anafanya yote kama mtumwa na amezaa nae February,how on earth am i suppose to be happy for them?
 
Hizi ni zile kesi zinazotakiwa kuangaliwa tofauti kidogo.....kwa mtu kama huyo huwezi kumuonea raha ikiwa unaujua uchungu na matatizo anayopata mwenye mke!!!Mbaya sana.....kwa mambo kama haya wengi wetu ni wanafki!!
 
HTML:
Imekuwa ni kawaida kuwasikia wapenzi wakisema "wanafiki hawapendi  tunavyopendana",, "wanataka kutogombanisha", "kuongea kawaida yao", na  mengine mengi? Hivi ukipendana na mtu ni lazima wawepo watu wasiopenda?  Hawa wanafiki ni akina nani?
Mnafiki ni mtu ambaye siku zote au mara nyingi huficha hisia zake za kweli................................na lengo lake ni kukupaka mafuta kwa chupa ya mgongo huku akikumulika mchana na akisubiria usiku ili akuchome wakati huna habari................hao ni wengi kwa sababu mafanikio yako yanatoa changamoto kwa wengine kujiona hawana mafanikio............kwa hiyo watatafuta njia ya aidha kukuangusha au kukusengenya.....................lakini debe tupu haliachi kutika na dua la kuku halimpati mwewe............
 
HTML:
mimi  ni mnafiki, siwezi kufurahia mapenzi ya watu wawili wasiopaswa kuwa  pamoja,mfano: nina rafiki na uhusiano unaoonekana wenye mapenzi ya kweli  na baba wa rafiki yetu mwenye mke wake na familia kubwa tu,baba  hatimizi majukumu yake hadi watoto wanalalamika lakini hawara anafanya  yote kama mtumwa na amezaa nae February,how on earth am i suppose to be  happy for them?

Haya siyo mazingira ya unafiki..............kwa sababu hakuna mahali ambapo umeshabikia mbele yao lakini moyoni kwako uko vingine.....................................................na nyongeza ya hapo ni kuwa possibly you are too judgmental........................mwanaume aliumbwa awe na wanawake wengi hizi ndoa za mke mmoja.....one man one wife zilikaririwa na mtume mmoja tu katika maandiko matakatifu na wala siyo sheria ya Mwenyezi Mungu katika zile sheria alizompa Nabii Musa....................hata Mtume paulo aliyetoa hii sheria alisema one man one wife will minimize sexual immorality....................lakini hakuna aliposema haya ni maelekezo ya Roho Mtakatifu.............Jiulize kwa nini Mwenyezi Mungu kwenye utakatifu wake huumba wanawake wengi kuliko wanaumme.....................tukifuata hiyo sheria ya one man one wife basi wapo akina dada zetu wataishi hadi kufa bila ya kupata mwandani wao...........................it will be a tragic case of loneliness...........and trauma..................................kwa hiyo jifunzeni kubanana banana bila ya kuwa na wivu au unafiki.................it is God's will......................look at Abrahamu, Isack and Jacob they were all a product of polygamous relationships yet God did nto abandon them......................
 
Wanafiki ni wale wanaokung'ata huku wanakupuliza, mara nyingi hawapendi kuona mtu wake wa karibu akiwa na mafanikio au akiishi kwa amani na mwenzake, atafanya kila hila ili aingilie kati. Hapo ndio panapokuwa patamu
 
HTML:
mimi  ni mnafiki, siwezi kufurahia mapenzi ya watu wawili wasiopaswa kuwa  pamoja,mfano: nina rafiki na uhusiano unaoonekana wenye mapenzi ya kweli  na baba wa rafiki yetu mwenye mke wake na familia kubwa tu,baba  hatimizi majukumu yake hadi watoto wanalalamika lakini hawara anafanya  yote kama mtumwa na amezaa nae February,how on earth am i suppose to be  happy for them?

Haya siyo mazingira ya unafiki..............kwa sababu hakuna mahali ambapo umeshabikia mbele yao lakini moyoni kwako uko vingine.....................................................na nyongeza ya hapo ni kuwa possibly you are too judgmental........................mwanaume aliumbwa awe na wanawake wengi hizi ndoa za mke mmoja.....one man one wife zilikaririwa na mtume mmoja tu katika maandiko matakatifu na wala siyo sheria ya Mwenyezi Mungu katika zile sheria alizompa Nabii Musa....................hata Mtume paulo aliyetoa hii sheria alisema one man one wife will minimize sexual immorality....................lakini hakuna aliposema haya ni maelekezo ya Roho Mtakatifu.............Jiulize kwa nini Mwenyezi Mungu kwenye utakatifu wake huumba wanawake wengi kuliko wanaumme.....................tukifuata hiyo sheria ya one man one wife basi wapo akina dada zetu wataishi hadi kufa bila ya kupata mwandani wao...........................it will be a tragic case of loneliness...........and trauma..................................kwa hiyo jifunzeni kubanana banana bila ya kuwa na wivu au unafiki.................it is God's will......................look at Abrahamu, Isack and Jacob they were all a product of polygamous relationships yet God did nto abandon them......................
Ruta inaonekana ushafikisha wanne! hahahaha! maana ulivyoelezea kwa kina!
 
Imekuwa ni kawaida kuwasikia wapenzi wakisema "wanafiki hawapendi tunavyopendana",, "wanataka kutogombanisha", "kuongea kawaida yao", na mengine mengi? Hivi ukipendana na mtu ni lazima wawepo watu wasiopenda? Hawa wanafiki ni akina nani?

....wewe mwenyewe ni mmoja ya hao wanafiki.... Jichunguze vizuri.
 
Huwezi amini, hata ndugu au rafiki zako wa karibu wanaweza kuwa wanafiki wenyewe.
 
ninavojua mtu mnafiki ana sifa kuu 3! 1. Akizungumza husema uongo 2. Akitoa ahadi hatimizi 3. Akiaminiwa hufanya hiyana. mfano tumekuamini tumekupa kodi zetu badala ya kuzitumia inavopaswa unaikanja(unaitafuna). Linganisha sasa na hao watu wako, jubu unalo mwenyewe.

...Nakupinga... Mnafiki ana sifa moja tu.... nayo ni.... "NAYE NI MNAFIKI"
 
ninavojua mtu mnafiki ana sifa kuu 3! 1. Akizungumza husema uongo 2. Akitoa ahadi hatimizi 3. Akiaminiwa hufanya hiyana. mfano tumekuamini tumekupa kodi zetu badala ya kuzitumia inavopaswa unaikanja(unaitafuna). Linganisha sasa na hao watu wako, jubu unalo mwenyewe.

dah, basi acha nikupe sifa halisi ya mnafiki.
Mnafiki HALISI ni mtu ambaye anakuwa tofauti na nyinyi moyoni mwake lakini haonyeshi utofauti huo mbele ya sura zenu. Kiufupi ni kweli mnafiki atakuwa na hizo sifa tatu ulizozitanguliza coz hana njia ya kuzikwepa ili kuzuiya kutojuilikana kuwa ni mnafiki.
Juwa kwama siyo kila muongo ni mnafiki, ila kila mnafiki ni muongo.
Then ktk hiyo ishu ya mapenzi, siyo kila atakayekuwa hapendi mnavyopendana atakuwa mnafiki. Mnafiki ni yule atakayeonesha anapendelea uhusiano wenu lkn kumbe moyoni mwake yupo tofauti.
 
....wewe mwenyewe ni mmoja ya hao wanafiki.... Jichunguze vizuri.

ndiyo mimi ni miongon mwao, siwez nikafurahia kumuona ninayempenda na yeye hanitak, alafu nichekelee. Lakini vp kuhusu wewe?
 
Kutokujiamini tu mwanaume akiamua anafanya hata chini ya dirisha lenu, mie najichanganya tu na BF, unafiki upo tu kuna watakaowapenda na kuwatakia mema na kuna watakaona kama mnafaidi sana watataka kuwaharibia hapo tena huna jinsi ni kukabiliana nao tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom