Je, wewe ni kamanda (mwanachama) kwelikweli au ni shabiki tu?

mimi mwanachama wa muda mrefu tu zaid ya miaka mitatu...
napenda chadema japo si mchaga kama wengine wasemavyo

kaka hawa wadhaifu wanatuchafua lakini 2015 tutawaonesha kuwa chadema siyo ya wachaga au watu wa kaskazini!
 
Nataka nijulishwe majukumu ya mwanachama,mimi nipo mza mjini na ningependa kufanya hayo majukumu.
 
Mimi ni mwanachama wa CHADEMA nilijiunga pale PANSIASI MWANZA mwaka juzi....najivunia kushawaishi vijana 12 kujiunga na CHADEMA.....na wameonyesha kuwa hawakujiunga kunifurahisha,wako hai kabisa na wanaendelea kuvuta wengine......
...pamoja sana kamanda...mimi pia ni mwanachama hai wa chama makini CHADEMA,kadi yangu ya uanachama nilikabidhiwa na mweshimiwa Zitto Kabwe ktk viwanja vya Sahara(5/12/2008) kipindi kile alipokuwa amefukuzwa bungeni kuhusiana na ile issue ya Buzwagi,nimejiandisha ktk tawi la CDM Pasiasi..."UKWELI NI UHURU"...
 
Nataka nijulishwe majukumu ya mwanachama,mimi nipo mza mjini na ningependa kufanya hayo majukumu.

fika ofisi za chadema karibu nawe ukishachukua kadi ya uwanachama kwenye kadiutakuta majukumu ya mwanachama
 
Mashabiki katika siasa si wa kupuuzwa hata kidogo!
Nao ni engine inayo fanya chama kishinde chaguzi mbalimbali,hivyo kupata nafasi ya kuunda serikali na kutimiza ilani yake!
Kwa mfano,CCM ina miaka zaidi ya 50(ukijumuisha Tanu Na ASP) Lakini kina wanachama wasio zidi mil 5!
Mimi nashauri watanzania wote kwa umoja wetu tuisapoti cdm kwani ndio chama makini kwa sasa!
Mungu ibariki Tanzania.
 
amen!asante kwa ushauri pia hawa mashabiki moja wapo mimi(mpiga kura jimbo la arusha mjini) tulihamasisha uchaguzi arumeru mpaka kikaeleweka
 
mimi ni mwanachama CDM 0455084 tawi siliweki wazi make TISS wamejaa humu wataniharibia mambo yangu kwa sasa....
 
Hii ni thread nzuri sana. Mimi ni mwanachama hai tangu 2004. Jambo moja ambalo ninajifunza ni kwamba, sisi CDM tunajiandaa kuichukua nchi. Hii ndiyo azma ya chochote cha siasa. Lakini ndugu zangu, ili tuichukue nchi, lazima system yetu iwe kamili. CHADEMA ina pendwa na watu wengi sana. Wanachama na wapenzi wa CDM ni watu wenye upeo mkubwa wa kuelewa. Rai yangu kuwa, kwa majibu haya machache ambayo nimefuatilia kwenye thread hii, haya siyo ya mambo ya kujifurahisha. We must show our seriousness, kama kuna matatizo kwenye matawi yetu, tuwahimize viongozi wetu, kila mtu ajiorodheshe kwenye register ya wananchama na kama kadi hazipo, asubirie. This is not a joke. Hatuwezi kuxhukua nchi kama system yetu haikukamilika.
 
kweli kaka uchache wa watu kwenye hii thread unaonesha kabisa ushabiki wetu CHADEMA ambacho kama kweli ndi hivi kukomboa hii nchi bado sana!
 
Mwanachama hai na ni kamanda mstari wa mbele pande za Tbt kimanga,aluta continue!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom