Wadau kuna mtu wangu kampata investor ambaye yuko tayari ku finance project ambayo itauza hapa nchini interms of apps kwahiyo nakaribisha ideas zenu na ambazo zitakaa vizuri nitawaunganisha.. Hii ni kwa developers.. Unaanza kutaja apps ambazo umeshaweka kwa stores na description kidogo.. Hii ni kitu serious